Kati ya dereva na trafiki yupi chanzo cha rushwa?

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Posts
1,940
Reaction score
3,858
Habar za jioni wanajamvi ?

Naomba nieleweshwe katika haya mawili
1. Kati ya dereva na trafiki yupi chanzo cha rushwa ?

2. Kwanini madereva wengi wakisimamishwa na trafiki,hata kama upo uwezekano wa kusimama karibu na trafiki, huvuta mbele ili wafuatwe na trafiki ?

[emoji767]
 
Chanzo cha rushwa ni mwenye hela mfukoni.
 
Habar za jioni wanajamvi ?

Naomba nieleweshwe katika haya mawili
1. Kati ya dereva na trafiki yupi chanzo cha rushwa ?

2. Kwanini madereva wengi wakisimamishwa na trafiki,hata kama upo uwezekano wa kusimama karibu na trafiki, huvuta mbele ili wafuatwe na trafiki ?

[emoji767]
Hayajakukuta ndugu, na usiombe yakukute.... Endelea kusoma athari za rushwa shuleni...
Hujasikia mwingine apigwa risasi kisa kukimbia trafiki
 
Ukishakuwa na nidhamu ya uwoga Lazima utoe rushwa na sometimes kama umekosea kweli na wewe kulipa fine halali huwezi rushwa inahusika ila haya yote yatachangiwa na njaa ya trafik kwa siku hyo
 
Back
Top Bottom