Wizi mpya kupitia simu(rununu) ya kiganjani

bkk

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2018
Posts
242
Reaction score
208
4HM7SRKH Imethibitishwa. Umepokea Tsh485,000.00 kutoka 255752623855 - LIVING LEKULE mnamo 5/5/18 saa12:16 PM Baki yako ya M-Pesa ni Tsh1,035,320.00.

Huu ni wizi mpya...wanakupigia wanakuambia wamekutumia hela kimakosa,
1. wanakuuliza umeona msg, unawaambia hapana..
2. Wanakuuliza kwani ulikuwa na salio la sh. Ngapi...unawatajia ..let say 550,000/=
3. Wanadraft msg ...Kama hiyo.. umepokea Tsh.485,000/= kwenye M-pesa yako ,salio lako ni 1,035,320/=

4. Wanakupigia tena wanakuambia umeona msg, unasema Ndio , wanakuambia ukate elfu 10 ya usumbufu ubaki nazo na hiyo nyingine watumie.

5. Inakula kwako

Nawasilisha.
 
Acha hiyo ni ya zamani, siku hizi kuna wale vijana wanaojifanya wanaunganisha huduma ya Tigo nivushe. Ndugu wanakufuata na kukwambia uwape simu, usije ukawapa.

Watafanya mchakato wa kujiunga kwa kutumia TIGOPESA, kisha watakurudishia na kukwambia uweke namba ya siri wao wasione. Wanahimiza ficha tusiione, ili ujue ni waaminifu. Kumbe ulivyowaachia simu hadi unaingiza pin za siri, ni sawa na kuwapa namba za siri.

Baadaye utaona imeingia SMS kwenye simu, pesa zako zimekombwa na kutolewa kwa wakala fulani
 
Hii imewah kunikuta pina yangu sikua na salio kubwa walilosema wao maana wao walinambia nimepokea laki5 na Mimi sikuwa na hyo ela wakaumbuka
 
Ungeedit ile msg iliyoingia, kwenye salio unaweka milioni. Halafu unajifanya una kazi nyingi huwezi tuma, wahangaike na SMS zao weee. Waambie ukimaliza unachokifanya ndiyo utatuma, kisha unawapotezea mazima. Wahangaike na kupiga simu tu
 
Sasa wew mtu anakuuliza kiasi ulichonacho na unamjibu ili iweje!???? Na huyo mtu anajua kabisa kwenye mpesa yako kutakuwa na hela ndo maana maana ukisema abahatishe atabahatisha mara ngapi
 
Mh! Hapo tu kwenye kutaja kiasi cha hela ya kwenye simu yako, ivi unaweza kuthubutu kumtajia mtu kiasi cha hela ulionayo kwenye simu yako? labda akaunti yako iwe ina matatizo halafu ukawa umepiga mwenyewe namba 100 huduma kwa wateja, pale mhudumu anaweza kukuuliza na ukamtajia kiasi kilichomo, duh tuweni makini.
 
Back
Top Bottom