Huu ni ulimbukeni wa hali ya juu kwa huyu mtaalamu wa Afya, utamuambukiza mtoto wako magonjwa

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,598
3,644
FB_IMG_1536017469686.jpg




Angalia mwanae yuko pekupeku, yeye kavaa theatre boats na green clothes.
Ushamba mwingine huu....
Hebu wataalamu wetu zingatieni yale mafunzo mnayopewa ya IPC ( Infection Prevention and Control).
Lakini pia unamjengea nini mtoto kichwani kumuonyesha mgonjwa aliyelazwa kwenye Operation table?
Waziri wa Afya kemea ujinga huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 856185
View attachment 856186
View attachment 856187

Angalia mwanae yuko pekupeku, yeye kavaa theatre boats na green clothes.
Ushamba mwingine huu....
Hebu wataalamu wetu zingatieni yale mafunzo mnayopewa ya IPC ( Infection Prevention and Control).
Lakini pia unamjengea nini mtoto kichwani kumuonyesha mgonjwa aliyelazwa kwenye Operation table?
Waziri wa Afya kemea ujinga huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe umemshauri nini huyo rafiki wako wa FB kabla ya kuleta humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana hapo ni hospitali na huyo mtoto wala hamuhusu huyo jamaa ambaye nadhani ni mfanya usafi(kutokana na mavazi yake na viatu)

Sasa labda huyo mtoto ni mgonjwa au mzazi wake kalazwa hapo kwenye hiyo ward na mtoto anatembeatembea bila mwangalizi wake kujua mpaka mtoto kaokota hicho kipande cha nguo kinachodhaniwa ni cha muhudumu wa afya au cha wagonjwa

Lawama ni kwa mwangalizi wake. Pia nataraji huyo aliyepiga picha hiyo alihakikisha mtoto ananyang'anywa hilo tambara badala ya kuendelea tu kutafuta pozi la kumchukua picha
 
Kupiga piga mapicha kwa kila unachokifanya huu ni ushamba hasa kwa mwanaume.

Sitaki kuongelea huyo mtoto kwasababu hakuna uthibitisho kuwa ni wake au alikuwa anapita au lah

Narudia aliyepiga picha hiyo na kutupia FB ni mshamba wa kiwango cha 'strigo joji'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom