Ingekuwa ni hivyo basi Dar isingejaa watu kiasi hikiKwa mtazamo wangu, haya ndio maeneo mazuri ya kuishi Hapa Tanzania. Gharama za maisha ziko Chini na hali ya hewa ni nzuri pia mzunguko wa pesa upo.
1.mbeya
2.Arusha
3.Tarime
4.mwanza
5.Moshi
6.moro
7.kahama
8.Iringa
Siijui songwe ni Mbeya tu hata kama wameigawa
Zanzibar ingekuwa ni sehemu ya tanzania ningechagua pembaKwa mtazamo wangu, haya ndio maeneo mazuri ya kuishi Hapa Tanzania. Gharama za maisha ziko Chini na hali ya hewa ni nzuri pia mzunguko wa pesa upo.
1. Mbeya
2. Arusha
3. Tarime
4. Mwanza
5. Moshi
6. Moro
7. Kahama
8. Iringa
Labda amemaaninisha hivyoSiijui songwe ni Mbeya tu hata kama wameigawa
Kwani Zanzibar sio sehemu ya Tanzania? MKWEPA KODIZanzibar ingekuwa ni sehemu ya tanzania ningechagua pemba
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Umesahau Chato,
hata punda wanapita kwenye traffick lights, no congestion!