Ujenzi wa barabara ya lami Kitunda - Mwembeni, TARURA mko wapi?

isky

JF-Expert Member
Mar 31, 2014
884
737
Mkandarasi hayuko site amechimba sehemu za kuweka culverts bila kukamilisha huku akiacha njia mbadala zisizo na kiwango zinazopelekea uharibifu wa vyombo vya moto na foleni zisizo za lazima. Na ikumbukwe vuli na haiko mbali itakapoanza wananchi watapata tabu sana. TARURA Amkeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitunda sio muhimu kwetu, labda mkimchagua mwanamke wa Musoma, wewe huoni viraka vya kutoka banana kuja kitunda vimetushinda harafu ndio tujenge barabara mpya, subirini na muwe wavumilivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili Jambo La Hovyo
Kuanzia Banana Matembele Ya Kwanza Na Pili Ni Shida


Tazama Kitunda Barabarani Pale Kituo Cha Mafuta Kwaujumla Tarura Kule Haipo
Halafu Mbunge Yule Anatoka Huku Anakwenda Kule


Pale Kwa Mpemba Baadhi Ya Nyumba Mvua Zikirudi Zitaanguka
 
Back
Top Bottom