Mc cane
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 5,566
- 10,532
Habari mabibi na mabwana
Aisee kwenye maisha kuna mambo mengine tunakutana nayo, mengine yanasahaulika mengine hayasahauliki kirahisi.
Katika mizunguko ya hapa na pale, nimewahi kukutana na wadada mara kadhaa na kunifananisha either na ndugu zao au ma x wao
Nitatoa mfano mmoja ili tusichoshane
Kuna siku nilikuwa club moja maarufu jiji la miamba. Katika kucheza, mara pa nakutana na mtoto mmoja matata (hakuwa mlupo, kwa mavazi na namna tulivyoagana).
Basi, kwakuwa nilikuwa alone club nikajikuta nacheza nikakutana naye katikati ya dance floor tukaanza kucheza kama partners hivi. Katika kucheza akasema eti amenifananisha na x wake, nikamwambia poa isiwe tabu mama.
Tuliendelea kucheza mziki huku tunapiga stori kwa muda kidogo, ilipofika ngoma nane ikabidi Mimi na yeye tuuage ukumbi. Kilichofuata ....... tupambe.....
Tulipoamka asubuhi tuliagana, and thanks ..... hakuna wallet ya mtu iliyopunguzwa ujazo
Vipi wewe, baada ya kufananishwa nini kilifuata?
Hii ni kwa wote, wadada na wakaka.
Sent using Jamii Forums mobile app