Duh! NIVEA For men

Duh! NIVEA For men

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341
Salama wakuu!

Naomba ufafanuzi kidogo juu ya product hizi mbili (body lotion)
1. NIVEA FOR MEN
2. NIVEA MEN

Kwa Tanzania maduka mengi huuza na wengi hutumia sana namba moja kwa uzoefu na uelewa.

Sasa hivi karibuni ukiagiza "Nivea for men body lotion" unapewa "Nivea men body lotion" yenye mfanano sawa na for men kwa kila kitu nje kasoro (for) katikati, kwa taarifa tu sio salama kwa afya zetu kwani imealibu vijana kama wawili hivi sasa jiran zangu na kugundua hili.

Naomba tueleweshane juu ya product mbili juu zinazofanana kwa wasiwasi, pamoja na TFDA kutusaidia kwa msaada kwani nimeambiwa zinatengenezwa china but label kenya. Zinaalibu ngozi za watu

"But NIVEA MEN ni product inayotumika USA but ya sasa TZ sio"

Asanten!

------------------------------------------------
ASANTE KWA MAJIBU

Ukiwa na smart phone, download barcode reader na itakusaidia kujua vitu feki.

Nivea original ni Nivea for men
 
Duh! Ngoja nifuatilie mjadala maana mimi natumia NIVEA MEN - ROLL ON PERFUME DRY IMPACT na NIMETUMIA NIVEA MEN ROLL ON PERFUME COOL KICK. Zote hazioneshi zilikotengenezwa ukiliganisha na hii VANILLA ESSENCE ROLL-ON PERFUME product ya England
 
...hivi ninawezapata wapi mafuta ya kujipaka yalikuwa yanaitwa "Mamisi, na mengine yalikuwa yaitwa Ashant"
 
Mie Wa Babycare Ngoja Nipite Kimyakimya Nitarudi Baadaye.

Babycare ni mafuta yangu serious mpaka kesho na bi mkubwa ndio alizoesha enzi za shule(boarding) anakueka mkopo mkubwaaa ukapambane nao haaaahaa leo ndio bora kwangu.
 
Back
Top Bottom