Bin Chuma
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 313
- 247
Ndugu wanajamvi tupeane machache unapokuwa na silaha ya moto ili kuwa salama wewe na wanaokuzunguka bila kuwa na matatizo.
1: Amini muda wote kwamba inaweza kulipuka hata kama umetoa risasi zote.
2: usilenge kitu chochote kama hauna mpango wa kukipiga.
3: usiitoe kwenye ulinzi(lock) kama bado haujataka kupiga.
Ongezea kwa uzoefu wako...........