habari wandugu
huwa najiuliza kila nisikiapo kuwa tunapopewa taarifa kwamba nchi imepata mkopo a.k.a msaada lakini nchi inapolipa hiyo mikopo hatupewi taarifa je hatuna haki ya kujua inavyolipwa ?
mkuu deni kuna njia zaidi ya moja ya kulipa unaweza lipa Kwa fedha au Kwa mali na kuna mdau mmoja huku alishasema BOT kuna kitengo cha maliasili (madini) kwahio wanaweza toa tembo moja deni likaisha
mkuu deni kuna njia zaidi ya moja ya kulipa unaweza lipa Kwa fedha au Kwa mali na kuna mdau mmoja huku alishasema BOT kuna kitengo cha maliasili (madini) kwahio wanaweza toa tembo moja deni likaisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.