Angalieni kituko kingine TBC live Mzee Mkinga anamtetea Bashite

Lugeye

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2011
Posts
1,679
Reaction score
2,917
Hii nchi ilipofikia tusiombe tena ila tutubu tu labda kuna mzee nilifikirigi ana elimu kubwa lkn anaongea mashudu tupu anadai yale makontena yaliyokua na matrekita na masofa yalikua karibu ña makontena ya makonda tu śo watu wakafikiri ni ya bashite
 
Kwani sio kweli?
 
Atakuwa ana matatizo anayemtetea mwenyewe hakuwahi sema kuna matrekta bali alisema kuna furnitures kwa ajili ya mashule kumbbe jina la matrekta siku hizi ni samani?
 
Hayo majibu akawape TRA na Waziri wa Fedha, sisi wananchi hatuna la kusema hata wakisema Bashite hana Kontena lolote bandarini.....

Tutasema Tawire baba.!
Kama walivamia clouds media na wakatoka salama, hakika hili nalo ni dogo kwake.
 
Vitu vingine vya ajabu sana wewe unarsema Yale matrekita yalikuwemo kwenye makontena ya makonda tupe ushaidi usio shaka
 
Hadi kaitwa tbc ujue lao moja ushawahi kumuona mbowe au msigwa hapo?
 
Inatia uchungu sana kuwa kuna watu wapo juu ya kila kitu
Halafu malumbano yaliyopo sio ya Makonda na wananchi....ni ya Makonda na Waziri wa fedha pamoja na TRA.....sasa sisi wananchi tunahusika vipi.

Hilo swala ni la mtumishi wa serikali dhidi ya idara za serikali.....sisi hata wakisema leo Makonda amelipa kodi yote bila kubakisha hata senti na kutangazwa mlipa kodi mzuri tutakubali tu.
 
Hayo majibu akawape TRA na Waziri wa Fedha, sisi wananchi hatuna la kusema hata wakisema Bashite hana Kontena lolote bandarini.....

Tutasema Tawire baba.!
Ata wakisema awe Rais kesho tutasema sawa tu mradi pakuche!
 
Hii nchi ilipofikia tusiombe tena ila tutubu tu labda kuna mzee nilifikirigi ana elimu kubwa lkn anaongea mashudu tupu anadai yale makontena yaliyokua na matrekita na masofa yalikua karibu ña makontena ya makonda tu śo watu wakafikiri ni ya bashite

Ni kweli syo ya makonda.OVER
 
Halafu malumbano yaliyopo sio ya Makonda na wananchi....ni ya Makonda na Waziri wa fedha pamoja na TRA.....sasa sisi wananchi tunahusika vipi.

Hilo swala ni la mtumishi wa serikali dhidi ya idara za serikali.....sisi hata wakisema leo Makonda amelipa kodi yote bila kubakisha hata senti na kutangazwa mlipa kodi mzuri tutakubali tu.
Kweli kabisa mkuu atutaki laana kabisa ata wakisema hii nchi ilikuwaga shamba la Babu yake mzaa Baba na sasa hivi anataka kuuza kwa wa dosi sisi hatuna neno auzee tu mradi asipate hasara sisi hatuna neno !!
 
  • Thanks
Reactions: etb
Dr. Mpango, kwa heshima na taadhima nakushauri tu kuwa ni muda muafaka kwako kuisikiliza zaidi hiyo sauti ya rohoni na kuyatekeleza yote unayoagizwa na huyo roho! Waachie ofisi yao sasa kwani watakupasua kichwa! Yaani lawama zote zinaelekezwa kwako hadi na wastaafu njaa wanakulaumu kwa kutimiza wajibu wako! Waachie ofisi yao kwani hutakuwa wa kwanza wala wa mwisho!
 
Hii nchi ilipofikia tusiombe tena ila tutubu tu labda kuna mzee nilifikirigi ana elimu kubwa lkn anaongea mashudu tupu anadai yale makontena yaliyokua na matrekita na masofa yalikua karibu ña makontena ya makonda tu śo watu wakafikiri ni ya bashite
Ni kweli Mkuu, hata yule mama mpiga mnada alisema makontena yote sio ya Makonda, na kila Jumamosi wanapiga mnada wa vitu vilivyoshindwa kulipiwa kodi, ila mnada ule ulikuwa publicized sana sababu ya hayo makontena
 
Hii nchi ilipofikia tusiombe tena ila tutubu tu labda kuna mzee nilifikirigi ana elimu kubwa lkn anaongea mashudu tupu anadai yale makontena yaliyokua na matrekita na masofa yalikua karibu ña makontena ya makonda tu śo watu wakafikiri ni ya bashite
Kweli mashudu tupu tena cotton cake ya mifugo, kwani tunaangalia document au hisia?
 
Back
Top Bottom