Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mradi wa Mabasi ya mwendokasi sidhani utadumu miaka miwili mbele. Huduma mbovu na kutojali wateja vinawamaliza. Magali yanafika kituoni watu wamerundikana halafu yanaondoka kwa mbwembwe bila...
14 Reactions
58 Replies
5K Views
Nimefanya kazi nyingi sana za field vijijini, karibu kila nyumba niliyoenda familia yenye watoto wachache ni 5 .familia kuwa na watoto 7,8 kawaida. Halafu maeneo kama ya mkoa wa mwanza na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Watu 11,669 wamekamatwa kwenye kampeni ya usafi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Kati yao, watu 6,667 walipigwa faini na kuwezesha kupatikana kwa fedha kiasi cha Sh346 milioni...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Nimejaribu kumuuliza kwa sms ikawa kimya,nikaona huenda wapo karibu naye,nimekaa kama nusu saa nimepiga hayuko hewani!Tunaomba mlioko huko mtujulishe
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Mungu huangalia na kuchunguza mioyo ya viongozi kabla hata hawajazaliwa Sio kweli kwamba Kagame na Museven hawajachoka kutawala,wamechoka ila bado Mungu anamakusudi nao, Wanachokifanya ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Soma 1Wakorinto 1:26 -29 Mifano halisi kwenye biblia 1 Samweli 16:7, Isaya 6:5-7, 1 Samweli 16:12-13, Waamuzi 6: 15-16, Luka 1:26-30. na Mungu wetu mwema akubariki na kukuhudumia, katika jina...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu jamani,naomba kuuliza leo nataka kwenda kumpokea mtu pale Airport lakini nina usafiri wa Pikipiki je nitaruhusiwa kuingia nayo mpaka kwenye Parking za Airport,Naombeni msaada wenu jamani
0 Reactions
28 Replies
4K Views
….Hello JF …..sijui kama mnaona kama nionavyo mie…, ...…watoto wengi wa secondary wanachagua masomo ya science sababu they are popular at school, ...wakati ule ukisoma PCB ama combination...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Maajabu ya tanzania nchi yangu....khaa[emoji26][emoji26][emoji26]
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Basi la kampuni ya Network ambalo lilikuwa likitoka Sumbawanga kuelekea Mbeya, limepata ajali ya kupinduka jana katika mteremko wa barabara maeneo ya Mbalizi. Hakuna vifo vilivyoripotiwa...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Habarini wakuu Kuna hili swala linanifikirisha sana kwa sisi ambao tunapanga chumba kimoja au chumba na sebule sijui kuhusu wanaopanga nyumba nzima kama nao jambo hili lipo,. Kwanini mpangaji...
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Kikosi cha Uhamiaji Kiteto Mkoani Manyara, leo kitakutana na viongozi wa dini (Wakristo) kuwapa maelekezo ya namna ya kupokea wageni. Kamanda wa Uhamiaji Kiteto Ikomba Eliud Mathew amezungumzia...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Daima heshima huwa hailazimishwi kwa kutia watu uoga.
0 Reactions
26 Replies
3K Views
WanaJF mimi nina rafiki yangu bubu ila ana uwezo wa kuendesha gari zote kubwa kutokana na kukaa yard muda mrefu na anafahamu vizuri sana gari ila sasa ni bubu. Ila anasikia na kuona vzuri,tatizo...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari humu! naombeni ufafanuzi wenu, kuna mtu kanizidishia pesa niliyopaswa kulipwa, natafakari hapa je hii ni baraka au ni kosa? maana kuna siku nilipita kanisa Fulani hivi watu walikuwa...
4 Reactions
126 Replies
10K Views
hello JF, mie naona hio sharia irekebishwe, vyama vyote viruhusiwe kufanya biashara, ili wapate income, itakayowasaidia kwenye mambo mbali mbali, kulea watu wa chama chao ambao wamelipigania...
3 Reactions
7 Replies
827 Views
Dar es Salaam. Happylight Mushi (65) mkazi wa Tabata Kisiwani jijini Dar es Salaam amekufa baada ya kujinyonga na kipande cha khanga ndani ya banda la kuku. Tukio hilo limetokea leo saa 3 asubuhi...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Mtu anayedaiwa kumuua Mariam Charles (22), mwanakwaya wa Kanisa la AICT, Chang’ombe ameendelea kuwatumia ndugu wa marehemu ujumbe mfupi. Mwili wa Mariam ulikutwa kwenye nyumba ya wageni ya East...
3 Reactions
99 Replies
19K Views
Ukikutana nao nje ya nchi wana confidence za kufa mtu. wakiwa kwao hawataki longo longo na kama hawaelewani watapigana mikwaju kisha wanadeliver Tazama KTN au KBC picha ziko clear, news...
21 Reactions
289 Replies
41K Views
HILI LA ZANZIBAR HALIUNGWI MKONO “LABDA NA MWENDA WAZIMU TU” Habari za uchomaji wa makanisa Zanzibar katika vurugu za hivi karibuni haziungwi mkono kwa namna yoyote ile. Yeyote anayefanya...
3 Reactions
54 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…