Sheria inasemaje kuhusu bubu kuendesha gari?

if cap fits

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
1,477
Reaction score
2,089
WanaJF mimi nina rafiki yangu bubu ila ana uwezo wa kuendesha gari zote kubwa kutokana na kukaa yard muda mrefu na anafahamu vizuri sana gari ila sasa ni bubu. Ila anasikia na kuona vzuri,tatizo ni kwamba anaongea kwa ishara tu.

Msaada kwa anayejua juu ya hawa wenzetu maana aliniuliza juu ya hali yake kama anaweza kupata leseni.
 
Mdomo si kati ya viungo muhimu kwenye kuendesha gari! bora anaona, anasikia, mikono na miguu iko safi na hana mtindio wa ubungo.
 
hapo sawa ndugu mana kuna jamaa wamemkatisha tamaa vibaya wanasema akisimamishwa na traffic ataongea nn!,nazan pia hawajui sheria bali wanatumia uelewa wao binafsi
 
anaona pia anasikia hamna shida hapo labda angetaka kuwa konda ingeleta shida
 
Hivi mtu akiwa na jicho 1 yani chongo vp anaruhusiwa kudrive?
 
WanaJF mimi nina rafiki yangu bubu ila ana uwezo wa kuendesha gari zote kubwa kutokana na kukaa yard muda mrefu na anafahamu vizuri sana gari ila sasa ni bubu. Ila anasikia na kuona vzuri,tatizo ni kwamba anaongea kwa ishara tu.

Msaada kwa anayejua juu ya hawa wenzetu maana aliniuliza juu ya hali yake kama anaweza kupata leseni.
Kwani anaendesha aje gari, au mtu mwingine yeyote anahitaji uwezo wa kuongea ili aendeshe au kutumia mashine?
 
Back
Top Bottom