Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,277
Basi la kampuni ya Network ambalo lilikuwa likitoka Sumbawanga kuelekea Mbeya, limepata ajali ya kupinduka jana katika mteremko wa barabara maeneo ya Mbalizi.
Hakuna vifo vilivyoripotiwa isipokuwa abiria kadhaa wamejeruhiwa na wamepelekwa hospitali ya Ifisi kwa ajili ya matibabu.
Kwa mujibu wa abiria waliokuwemo ndani ya basi hilo, wanasema chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa basi kutaka kuikwepa pikipiki huku basi likiwa kwenye mwendo mkali.
Baada ya ajali kutokea dereva wa basi la kampuni hiyo ya Network, akimbia.