Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,532
Sisi watazamaji wa TV tunaomba local channels zirudishwe kwenye Ving'amuzi vyote. Kama tumeweza kununua Ving'amuzi hata kulipia Local channels tunaweza.
Sio kwa mateso haya.
Sio kwa mateso haya.