Je, vifo vyote hupangwa na Mungu?

Je, vifo vyote hupangwa na Mungu?

Cliffhanger

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2018
Posts
721
Reaction score
1,294
Mara nyingi itokeapo binadamu akafariki wacha Mungu huwa wanatuambia kazi ya Mungu haina makosa na mapenzi ya bwana yametimia.

Swali langu itokeapo libinadamu katili likambaka mtoto wa mwaka mmoja mpaka malaika huyu akafariki dunia, je hii nayo ni kazi ya Mungu? Je mwenyezi Mungu asingeweza kuwa na njia nyingine ya kiungwana ya kumchukua mtoto huyu asiye na dhambi mpaka apitie kwa Mbakaji?
 
Kuna kamati za roho mbaya mkuu. Wakikaa vikao huruki nusu saa kubwa sanaaaaa
 
Hakuna kifo ambacho ni Mpango wa Mungu ila tunakufa kutimiza agano.
 
Hakuna kifo ambacho ni Mpango wa Mungu ila tunakufa kutimiza agano.
Mungu aliumba kifo,ila utakufaje ni mambo ya dunia,ndio maana amelaaniwa atakaye jiua iwe kwa sumu au kujinyonga,haiwezekani mungu apange kifo chako kiwe cha kujinyonga alafu ukijinyonga uambiwe hutaurithi ufalme wa mungu,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom