Africa Must Be One Nation (AMBON)

Africa Must Be One Nation (AMBON)

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,624
Reaction score
8,441
Nimejiuliza na kuwaza sana juu ya upumbavu wetu. Kwanini tunakubali kuwekewa mipaka? Kwanini tunakubali kugawanywa? Kwanini hatushtuki?

Walichokifanya hawa jamaa ni kutugawa kwa mafungu. Tena mafungu yenyewe ni yale ya upendeleo ili wengine wajione bora kuliko wenzao. Lengo la kufanya hivyo ni kujenga majivuno ili iwe ngumu kwa watu wanaojiona matajiri kujiunga na wanaowaona masikini ili wawe wamoja.

Nimejikuta natamani sana kila mwafrika akiimba wimbo wa Afrika Taifa Moja bila kujari yuko kwenye nafasi gani.

Nimejikuta natamani kuiona nguvu ya Afrika

Nimejikuta natamani kuimba wimbo wa Taifa la Afrika

Nimejikuta natamani kuiona sarafu moja ya Afrika

Nimejikuta natamani kuiona tamaduni moja ya Afrika

Hakika ni hamu iliyonijaa kichwani mwangu. Kama ningekua na mamlaka, ningeanza mchakato wa kuandaa masomo maalumu kwa watoto kuanzia chekechekea ya namna ya kuifanya Afrika kuwa nchi moja.
 
Mimi napinga hoja ya kuungana kwa Afrika hebu fikiria watu wakorofi kama wasomali itokee ndie awe raisi si itakuwa balaa.
 
Pinga pinga wa ufipa watakuja kupinga wazo lako zuri
 
Nimejiuliza na kuwaza sana juu ya upumbavu wetu. Kwanini tunakubali kuwekewa mipaka? Kwanini tunakubali kugawanywa? Kwanini hatushtuki?

Walichokifanya hawa jamaa ni kutugawa kwa mafungu. Tena mafungu yenyewe ni yale ya upendeleo ili wengine wajione bora kuliko wenzao. Lengo la kufanya hivyo ni kujenga majivuno ili iwe ngumu kwa watu wanaojiona matajiri kujiunga na wanaowaona masikini ili wawe wamoja.

Nimejikuta natamani sana kila mwafrika akiimba wimbo wa Afrika Taifa Moja bila kujari yuko kwenye nafasi gani.

Nimejikuta natamani kuiona nguvu ya Afrika

Nimejikuta natamani kuimba wimbo wa Taifa la Afrika

Nimejikuta natamani kuiona sarafu moja ya Afrika

Nimejikuta natamani kuiona tamaduni moja ya Afrika

Hakika ni hamu iliyonijaa kichwani mwangu. Kama ningekua na mamlaka, ningeanza mchakato wa kuandaa masomo maalumu kwa watoto kuanzia chekechekea ya namna ya kuifanya Afrika kuwa nchi moja.
Wakati sisi kwenye ubeti wa Kwanza wa wimbo wetu wa Taifa tukianza na Mungu ibariki Afrika..wako baadhi huanza kwa kuyabariki mataifa yao kwanza.
 
Na Wazungu hawawezi kukubali tuwe kitu kimoja maana tunaweza kuwa na nguvu isiyo mithilika.
 
Hebu fikiria tuungane na Walibya si watasherehekea wiki nzima kwa kupata watumwa bweleleee.hawa jamaa wakiona mtu mweusi kwao ni mtumwa tu.
 
Nimejiuliza na kuwaza sana juu ya upumbavu wetu. Kwanini tunakubali kuwekewa mipaka? Kwanini tunakubali kugawanywa? Kwanini hatushtuki?

Walichokifanya hawa jamaa ni kutugawa kwa mafungu. Tena mafungu yenyewe ni yale ya upendeleo ili wengine wajione bora kuliko wenzao. Lengo la kufanya hivyo ni kujenga majivuno ili iwe ngumu kwa watu wanaojiona matajiri kujiunga na wanaowaona masikini ili wawe wamoja.

Nimejikuta natamani sana kila mwafrika akiimba wimbo wa Afrika Taifa Moja bila kujari yuko kwenye nafasi gani.

Nimejikuta natamani kuiona nguvu ya Afrika

Nimejikuta natamani kuimba wimbo wa Taifa la Afrika

Nimejikuta natamani kuiona sarafu moja ya Afrika

Nimejikuta natamani kuiona tamaduni moja ya Afrika

Hakika ni hamu iliyonijaa kichwani mwangu. Kama ningekua na mamlaka, ningeanza mchakato wa kuandaa masomo maalumu kwa watoto kuanzia chekechekea ya namna ya kuifanya Afrika kuwa nchi moja.
Kataeni dini zao, mfumo wao wa elimu na maisha, vitu vyao kama magari, train, mahotel nk iliturudi kwanza katika enzi za ujima
 
Wewe unadhani wameweka hayo unaita maelimu na mahotel ili wakufaidishe wewe?

Lengo lao ni kukupumbaza kama ulivyopumbazwa na unajiona unastahili kuletewa kila kitu.

Unajua nini kitatokea miaka ijayo???
 
Ushasoma elimu yao sasa unawakosoa Waafrika hatakuja kuungana na haitakuja kutokea umaskini ukaisha
 
Back
Top Bottom