Itovanilo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,311
- 5,158
Samahani Mimi sio mwandishi mzuri,ila kuna jambo linanitatiza.
Ni kwamba nikiwa kama mtoto niliyelelewa na wazazi wote wawili,niliweza kutofautisha kauli za wazazi wangu kiasi kwamba nikiwa na umri mdogo kabisa nilitambua kuwa baba ndiye mkuu katika familia yetu tofauti na wengine.
Katika kusisitiza jambo,kutukana na mengine mengi ambayo yalimtofautisha faza na wengine .
Vilevile nilivyoanza shule niliona tofauti kati ya mkuu wa shule na walimu wengine katika uwasilishaji wa jambo,msisitizo na hata ukali una aina yake tofauti.
Hivyo naona ni jinsi gani kiongozi mkubwa anaweza kujitofautisha na walio chino yake kimatamshi,lakini kwangu kuna misemo inanichia viulizo kama vile jiwe,kichaa kuwashwawashwa n.k kiasi kwamba..............unakodi gari ya tani kumi kwa mzigo wa kilo moja,yaani haviendani