DC Jerry Muro nakupa ushauri wa bure, uongozi si ugomvi

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,316
24,181
Napenda kumpa ushari wa bure kabisa ndugu DC mpya Jerry Muro.

Baba Chonde chonde usijeingia hamsini za wajuaji, uongozi si ugomvi.
Twasikia mara kidole cha macho kwa mssidizi, mara unakifua kipana cha serikali, mara makofi kwa kondakta!
Kama kuna somo unaloweza kujifunza, ujue kuna Mwamwindi katika jamii.
Ukiingia hamsini zake hata Awamu ya tano haitakusaidia.
 
Kwa hulka ya Jeri hawezi kukuelewa ikiwa aliyemteua anampigia simu za kumpongeza..
 
Jerry kapewa wilaya ya washari kwa hiyo dawa ya ugoro ni ugoro.[/QUOTE
Mwanzisha uzi ametoa angalizo kuwa ktk jamii hasa ya wameru kuna kina Mwamwindi, Jerry awe makini.
Sasa wewe na huo ugoro wako nadhani unataka Jerry apige chafya kama siyo kwi kwi ambayo sometimes hutoa uhai wa mtu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom