Habari za wakati huu wakuu.
Nina swali ambalo limekuwa likinitatiza kimantiki, ikiwa shetani alimuasi Mungu kwa kiburi na chuki, mantiki ya yeye kumtesa mwanadamu inatoka wapi?
Kwa nini...
Mambo 6 Watu Wenye Nguvu ya Akili Hufanya:
1. Hawapotezi muda kujihurumia.
Wanajifunza kuendelea mbele.
2. Wanakubali mabadiliko.
Wanapokea changamoto kwa moyo wazi.
3. Wanabaki na...
Salama.
Huu mkwamo wa kiuongozi ni kweli upo? Umesababishwa na nini? Je hatua gani zimechukuliwa ili kuweza kutatua changamoto ya huu mkwamo uliopo ?
Pengine ni mawazo ya mtu mmoja ,je ndugu...
Kila nikiwaza, huwa nachanganyikiwa.
Kila nikisoma ahadi ya watakoingia peponi huwa naumizwa.
Ni pale ninapofikiria ahadi za baadhi ya pepo.
Zinaahidi wanawake warembo wenye macho kama kikombe...
Siamini ninachokiona wana JamiiForums, Mungu amenisaidia na hili tatizo sasa hivi najiona ni mwanaume kamili toka mbarikiwe wote mlionisaidia kwa mawazo yenu. Siri ya mafanikio ni sala pamoja na...
NIkupe tu taarifa wewe unae hangaika na vitu vya kufikirika kuwa huu ni uchezaji tu wa akili yako.
PESA HUZAA PESA.
BAHATI NI PALE FURSA IKUKUTE UKIWA NA UTAYARI.
Hakuna cha nyota wala aura...
huu uzi nadhani unaweza usipate mpinzani siku za karibuni
huzi wenyewe ni huu 👇🏾
Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia
hapa Joannah akishirikiana na Labella wamemwaga madini...
Dhana ya Haki na Uhuru wa Kuabudu
JE NI HAKI KWA WATENDAJI WA SERIKALI KULAZIMISHA RAIA AU WATUMISHI WA UMMA KUISHI BILA DINI AU KUZUIA UHURU NA HAKI YA KUABUDU WAKIWA KTK OFISI ZA UMMA?
Kwa...
Kuna mtu unakuta ameajiriwa sehemu lakini ana Mali mpaka unashangaa mtu hyu
Anamiliki gari Kali harrier , Vanguard,Crown nk
Ana mifugo ng'ombe kama 200 plus
Mashamba ya mazao ya chakula na...
Habari wakuu,
Najua unaweza kuhisi kama ni swala la utani, lakini nataka niwambie huu sio muda wa kuleta utani tena kila tunapo ona fursa. Mimi kwangu naiona fursa ya biashara ya kujenga kiwanda...
Dereva wa bodaboda aliyefahamika kwa jina la Ally Kambi (24), mkazi wa Kingolwira Manispaa ya Morogoro, anadaiwa ameuawa kisha kuporwa pikipiki na watu ambao bado hawajajulikana waliomkodi eneo la...
Ukali wa adhabu uendane na muda aliopitliza kumstiri mwanamke. Mfano mwenye umri wa miaka 38, ikadhibitika mahakamani kwamba ana mke mmoja tu, basi adhabu yake ni kifungo cha (38-35), yaani miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.