Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu inawezekana kupata NIDA NUMBER? Majina yake ninayo Mtu mwenyewe alishakufa mda mrefu Msaada wa haraka unahitajika
1 Reactions
7 Replies
183 Views
Tulipotea njia kulazimisha usawa wa jinsia katika uongozi, viti maalumu vya ubunge vifutwe.
7 Reactions
12 Replies
296 Views
Samaki wasio na mapezi na magamba hawaruhusiwi kuliwa Maandiko katika kitabu cha Mambo ya Walawi 11:9-12, yanasema: 9 Katika hao wote walio ndani ya maji mtakula hawa; kila aliye na mapezi na...
6 Reactions
39 Replies
698 Views
Acha tabia ya kutembelea ndugu mara kwa mara utafikiri mechi za kila wikiendi, uchumi umebadirika, sasa hivi watu wanaenda na bajeti. Una mwaga mwaga ovyo kila kona, mwishowe ni kuongeza watoto...
6 Reactions
4 Replies
162 Views
Asilimia kubwa ya wanawake wanaishi kwa kutegemea mikopo.Wapo wanaokopa na kufanya mambo ya maana na pia wapo wanaokopa lakini mwisho wa siku pesa haionekani ilipopotelea. Sasa huyu kibibi naye...
3 Reactions
7 Replies
170 Views
Ni kijana anayefahamika kwa jina la Alvin Asei mkazi wa Kirua Vunjo Magharibi mkoani Kilimanjaro, akiwa anaangua kilio huku akitoa maneno ya majuto, baada ya kudaiwa kutenda tukio la mauji kwa mtu...
1 Reactions
5 Replies
263 Views
Hivi wakuu hili suala lipo aje vijana normal wadogo pressure zinawapata Cha ajabu wengine wanatumia medication kabisa. Karibu tuchangie mada kikaangoni.
6 Reactions
52 Replies
875 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa akifanya mahojiano na Bongo FM leo Mei 15, 2026 ameeleza namna alivyopambana wakati...
7 Reactions
17 Replies
342 Views
Wa Malaysia nao walalamika kama sisi tunavyolalamika(ga) kwa nini Orodha ya matajiri kumi wakubwa nchini mwao siyo wazawa wenye asili ya Malay na siyo waislamu? Ispokuwa mmoja tu (Mengi wao)...
2 Reactions
10 Replies
283 Views
Ujenzi wa Barabara ya Rwamishenye–Bukoba Port (Km 5.1), kipande cha Nyagoye hadi Bukoba Mjini (Km 1.6) kwa njia nne, umefikia hatua za mwisho za utekelezaji wake. Meneja wa TANROADS Mkoa wa...
1 Reactions
5 Replies
185 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Data nilizozichunguza zimeonyesha bila shaka yeyote kwamba, kuwa na id mbili ni dalili kubwa sana ya tatizo la afya ya akili kuwa na id zaidi ya moja ambazo zote zipo active ni moja ya dalili...
4 Reactions
4 Replies
127 Views
Ni simanzi imetawala mkoani Kilimanjaro, baada ya mwanamke mmoja anayefanya biashara ya chakula, Restituta Moshiro (40), kukutwa ameuawa na mwili wake kutupwa kwenye shamba la mahindi, ukiwa na...
3 Reactions
27 Replies
716 Views
Dar es Salaam ni special case maana nadhani hata police wameshindwa kudhibithi ili janga, nilipata nafasi ya kutembelea huko jijiji dar in short sehemu yoyote ile ndani ya dar ukitaka utelezi ni...
19 Reactions
86 Replies
20K Views
1. Tofauti na ilivyozoeleka Kwa wasomi nchini ambao huchambua Kwa sisi Ngumbaru tusioelewa kuhusu Jambo la kitaifa. 2. Ila Kwa makusudi ndugu hawa wanaojiita wasomi wenye ma-PhD wameamua...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Natumaini tuko poa Kila mmoja anaona au aliona yaliyotokea kabla na baada ya uchaguzi wa mwaka jana 2025 ,baada ya machafuko ya October 29 ,Raisi aliunda tume ya kuchuguza kilichotokea na sababu...
0 Reactions
1 Replies
103 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko...
0 Reactions
0 Replies
161 Views
  • Redirect
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji...
0 Reactions
– Replies
– Views
Mi natafuta kiguta hapa cha kuchaji.....kama bado unapishana sheli.... wewe ni mpambanaji na pia mshukuru Mungu
8 Reactions
32 Replies
533 Views
Back
Top Bottom