Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,913
- 3,737
Mtu haend kanisani wala msikitin ila anamuamini mungu na kumwabudu. ila kuenda kwake kanisan n mwiko?
Ukwel ila hawa wagalatia nomaHuyo Hana dini. Usikariri Kila anayemuamini Mungu basi ana dini. Dini imeletwa na mwanadamu,Ila Mungu yupo kabla ya uwepi wa dini.
Hakuna mungu nje ya dini.Mtu haend kanisani wala msikitin ila anamuamini mungu na kumwabudu. ila kuenda kwake kanisan n mwiko?