Dr leader
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 1,080
- 1,448
Mambo 6 Watu Wenye Nguvu ya Akili Hufanya:
1. Hawapotezi muda kujihurumia.
Wanajifunza kuendelea mbele.
2. Wanakubali mabadiliko.
Wanapokea changamoto kwa moyo wazi.
3. Wanabaki na furaha.
Hawapotezi nguvu kwenye vitu ambavyo hawawezi kuvibadilisha.
4. Wana upole na haki,
na hawaogopi kusema ukweli.
5. Wako tayari kuchukua hatari zilizopangiliwa kwa akili.
6. Wanasherehekea mafanikio ya wengine.
Hawana wivu wala chuki kwa mafanikio hayo.
0744 883 353
Abuuabdillah