FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 449
- 408
Meli nyingi huzama taratibu hivyo kutoa wasaa Kwa watu wa uokoaji kugawa maboya Kwa wasafiri
Lakini siku za hivi karibuni tumeshuhudia meli zikipinduka badala ya kuzama,nikitumia id ya mwibamwiba au mwiba humu JF kama sikosei niliwahi kuliandika hili
Binafsi sipo tayari kusafiri Kwa meli au boti kwenda Zanzibar Kwa sasa ikiwa wadau wa meli hizo hawataanzisha utaratibu wa kugawa maboya kabla ya safari na tuyavae kabisa kabisa kwani itawagharimu sh.ngapi,na kwanza itaongeza ajira Kwa wagawaji wa maboya hayo na wayadhibitishe TBS
Hata wakati wa kuvuka Kwa kivuko kwenda Kigamboni huwa nakaa juu karibu na maboya
Lakini walivyo hawajali wala hawawezi kufanya na mkurugenzi was Sumatra yupo,huwa najiuliza Sumatra wanafanya kazi kweli na wanajali watu ikiwa watashindwa kulitekeleza hili
Ndugu Dr.Ayoub Ryoba mkurungezi was TBC TAIFA tunakuomba umuhoji mkurugenzi was Sumatra ikiwa anafikiriaje kulisimamia hili
Mimi nayasema Kwa kuwa Azam hana uwezo wa kuniroga na nilipaswa niwe tajiri kuliko yeye,nyota yangu ni kubwa kuliko yake,watu wengine si rahisi kuyasema haya
Instagram:kaukwaju