Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zangu watanzania kwanza niwape pole kwa maafa yaliyotokea juma lililopita. Mungu awatie nguvu kwa kipindi hiki kigumu sana. Nimejaribu kuvumilia lakini nimeona isiwe tabu hebu tujadili hili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Isengo, Ines Mtundu (19) kwa kosa la kumtupa chooni mtoto mchanga. Kwa mujibu wa taarifa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Sharon Otieno mwanafunzi wa chuo kikuu alikuwa ni kimada wa Gavana wa Migori -Kenya, Bwana Okoth Obado. Sharon alitekwa na mwili wake ukaja okotwa ukiwa una jeraha la kuchomwa kisu. kutokana na...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Tumelia sana, tumeomboleza sana, tumesikitika sana, sasa tuamke usingizini kuanzia Leo. ✍🏿 21/05/1996 tulipatwa na janga kubwa sana la kuzama kwa MV Bukoba iliyo tengenezwa tangu 1979 ikawa...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Watu wanne wamejeruhiwa na wengine zaidi ya 40 wamenusurika baada ya basi la Kapricon walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kuparamia nyumba katika eneo la Mabungo wilaya ya Moshi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanaume mmoja wa Kisiwa cha Ikuza wilayani Muleba amefariki na mwanamke mmoja kujeruhiwa baada ya kuchomwa visu sehemu tofauti za miili yao. Diwani wa Kata ya Ikuza, Fortunatus Matha amemtaja...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajamvi Nataka kufungua biashara ya mbuga ya wanyama maana nimefanikiwa kupata pori huku vingunguti. Natafuta wanyama wa Kali kama Simba watoto na chui watoto pia. Ni moja ya njia za...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
jaman naomba kujuzwa jinsi kulipia online ukiwa na mastercard je zile namba tatu ndo password au,, na je izo namba tatu ni laxima uzijaze?? na kuhusu sehemu ya tar na mwez najaza nn??? nijuzeni
0 Reactions
3 Replies
963 Views
Habari wana JF. Tangu wiki iliyopita mdogo wangu amepata ajali ya pikipiki huko Songea na kuumia/kupata fractual kwenye fuvu la kichwa. Hali ya mgonjwa ni mbaya na anatia wasiwasi. Madaktari...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Geita. Wakazi wawili wa Kijiji cha Lubanga mkoani Geita wameuawa kwa kukatwa mapanga na kunyofolewa viungo mbalimbali vya mwili, tukio linalodaiwa kufanywa na watu wasiojulikana walioondoka na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tabora. Mtoto Aisha Husseni (4) ameokotwa akiwa kwenye mfuko wa sandarusi akiwa amechomwa moto na watu wasiojulikana. Tukio hilo limetokea mtaa wa Sukuma jana Septemba 23, 2018 katika kata ya...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Serikali imeweka bayana kuwa haina mpango wowote wa kufuta makato ya asilimia 15, kwenye mishahara ya wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu nchini na itachukua hatua kali kwa wale wanaochelewesha...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Mbunge wa Jimbo la Mtama Mh. Nnauye Nape amepata ajali ya gari katika kijiji cha Kibutuka akiwa njiani kuelekea Liwale kwenye kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Mkoa. Inaelezwa kuwa alikuwa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kesi hiyo namba 13 ya mwaka 2018 itasikilizwa Jumatatu Septemba 24, 2018 katika Mahakama ya Hakimu Mkaizi Kisutu mbele ya Hakimu Huruma Shaidi Mbali na Msanii Maua Sama, Watangazaji Sudi...
0 Reactions
25 Replies
8K Views
KUNA WAKATI NAWAZA "MBELE "SANA..NATAKA KUTIMILIZA MENGI SANA ..!...TUTIMILIZE PAMOJA BASI RAFIKI YANGU. 1.Nataka na wewe uamue kutimiliza kitu..!Usiende siku zote mwaka mzima au miaka miingi bila...
15 Reactions
24 Replies
2K Views
Salam wanaJF! Mtaani kugumu sana… kila mtu anatumia nafasi yake kukaba 18 yake. Hakuna huruma mtaani kabisa. Mtu unatafuta nyumba ya kupanga mjini, dalali anataka umlipe kodi ya mwezi mmoja...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
mimi kama mdau sugu wa daladala huwa napanda nikijua kabisa lazima nifunge mkanda lkn huwa hakuna hiyo wala siwezi kushauriwa hivyo na trariki kama ambayo huwa wananishauri nikiwa kwenye mabus ya...
1 Reactions
7 Replies
886 Views
Naomba niiwe mkweri katika hili, binadamu tulio pewa nafasi nyingine yakuishi ikiwa wengine wanawekwa kwenye mafriza mochwari,wao ni watu kama sisi sio robort, swala linapo kuja pale kufa na...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Sio siku chache nimetoka kupambana na ndugu wanaokuja kusalimia kwa lengo mufirisi, akiondoka ni kutangaza mambo ya uongo na majungumajungu utadhani walikuwa maagenti wa Mossad wametumwa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mbunge wa (CCM), Jimbo la Mtama mkoani Lindi Nape Nnauye, amepata ajali baada ya gari aina ya Land Cruiser VX yenye namba T 349 DEL alilokuwa amepanda kupinduka leo asubuhi Septemba 24, 2018...
3 Reactions
123 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…