Modifications ktk vivuko vyetu..

Modifications ktk vivuko vyetu..

Joined
Jul 23, 2018
Posts
14
Reaction score
10
Katika taaluma yangu Ndogo Ya ufundi wa magari Yani vehicle mechanics... Ambapo ktk taaruma hii huwa tuna funzwa [emoji116][emoji116]
[emoji419]service
[emoji419]modifications
[emoji419]repair

Mimi Nataka kuongelea kuhusu modifications huku nikijikita ktk *Mv Nyerere*

Kbl sijaanza nitoe pole kwetu sisi wote hasa...

Naamini wengi tumefatilia lile tukio sasa ktk gari kuna kitu kinaitwa airbag nadhan wote tunafaham hiki chombo..



Ukisikiliza [emoji115][emoji115]hayo maelezo ya namna Ya kutoa iko chombo ni kwamba watatumia simtank km Mia .. Au maboya..

Mimi niliwaza kwamba Kwann ktk meli kusiwepo kitu km airbag ambacho kitakuwa kinasens

Yani kivuko kinapo anza kuzama Na maji yakivuka ule msitar basi ile sensa ipeleke taarifa na kuzibua vile vifaa vitakavyo kuwa mfano wa airbag ktk gari...

Au Hata pale meli inapobinuka km Mv Nyerere basi vile vifaa vijilipue km airbag Harafu meri ibak kuelea juu juu..

Hiyo pekee nadhan ingeweza saidia Sana..kuliko Leo watu bado wamebinywa Na lile meli sasa Hata wakitolewa watakuwa wameharibika Sana.. Wakat tungeweka hizo airbag Wenda zingelipuka Na meli kubali ikielea tu juu

Nakaribisha mawazo yenu wakuu...
 
Back
Top Bottom