Nilichojifunza kwenye ajali na matukio makubwa

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,252
21,345
Mwenzenu huwa nachukua mda kutafakali kusudio la Mungu kumleta mwanadamu duniani kwa kila tukio linapotokea:
Lakini nimegundua kuna kundi la watu MHimu sana jamii huwa hailipi kiaumbele;
hili kundi ndilo linaloifanya jamii iheshimike, hili kundi ndilo linaoijenga nchi, lakini wachache waliopewa mamlaka ndiyo wanaoonekana peke yao!
Nimesikiliza Viongozi mbalimbali wakianza hotuba kwa kushukuru jitihada za watu mashuhuli tuu kiitifaki kwa wanasiasa, lakini kundi hilo halimo!
Imenitafakarisha sana Maisha ya hapa duniani.

Ebu tafakari haya;
  • Wavuvi wenye mtumbwi ndiyo watu Wa kwanza kabisa kuona,kutoa taarifa na kuokoa lakini sijasikia angalau wakikumbukwa kiitifaki au sijaona wakipewa neno la kutiwa moyo angalau kutambulika kazi zao, pamoja na kwamba media ukiona zinazungumzia wavuvi ujue kwamba wanazungumziwa kwa uvuvi haram,n.k
  • Njoo kwenye mazishi, coverage IPO zaidi kwa wanaoweka mashada lakini walioshika makoleo hawaonekani.

Hii imenifanya niamini kabisa binadamu hushughulika na finishing na si chanzo, Binadamu hushughulika na mwili na si roho, Binadam hushughulika na ajali na sio kinga, Binadamu hughalamikia misiba na sio kuponya,
Haya yote yanasababishwa na kutoijua kesho yetu kama binadamu, Laiti kama tungeijua kesho yetu hata nyimbo za huzuni tusingeimba, laiti kama tungejua kwamba Vipaji hutoka kwa Mungu tusingezarauliana,

Magorofa haya yanajengwa na watu wadogo sana lakini sifa anapewa mwingine hao hawatajwi, barabara zinajengwa na watu Wa kawaida lakini sifa anapewa mwingine, makaburini wanaoshiriki kuzika ni watu Wa kawaida sana ambao hata wakija majumbani mwenu hamuwapi hata viti vya kukaa,
NINACHOKIAMINI HATA KWENYE KITI CHA MAMLAKA YA JUU DUNIANI, BADO TUNAKALIA MATAKO YETU!
kwahiyo tutengeneze utamaduni Wa kutambua makundi ya watu wadogo kwani wao ndio chimbuko la umaarufu & utajili wako .
Ukiona una vyeo tumia cheo chako kuwasaidia hawa watu, Boresha huduma zao, boresha miundombinu, Huduma za kijamii, Usiwafanye watu hao kusononeka wakati tamko lako ni tiba kwao!
Tambua watu hao ndiowatakaokuchimbia kaburi lako wakati hao viongozi wenzako, mabosi wenzako unaowathamini na kuwadhania hakuna hata mmoja atakaebeba jeneza lako.
Tujifunze kuliweka kundi hilo kwenye itifaki. Aksante
 
umeongea kwa uchungu

ila sio Ajali tu

umeaahau hata zawadi za MEIMOSI wanaopewa ni watu wajuu
so alie nacho ataongezewa na asiekuwa nacho hata hiko kidogo atapokonywa.

hamna namna.
 
ni kweli kabisa
 
Hata wale wanaofyatuana na kufyatua watoto kuijaza nchi hawapewi heshima inayostahili
 
Ulichokinena hiki mkuu atakayekuja kukupinga niite nimshughulikie,nipo pale kwa msambaa napata kahawa kidogo.

Good point mkuu.Ubarikiwe hekima na maono ya mbali zaidi.
 
umenena maneno yenye ukwel kabisa ili tabaka la chini ambalo ndo linabeba msingi wa maisha ya watu mbalimbali tumelitenga sana tunalikumbuka kwenye shida tu
 
Mkuu umenena vyema. Siku moja dada wa usafi ofisini alisafiri kama siku mbili hivi, hivyo tulikaa siku pasipo yeye kuwepo. Hili jambo nililitafakari sana maana pengo lake lilionekana kwa sehemu kubwa. Tangia siku hiyo nilitambua mtu wa muhimu ni mtu wa chini anayetoa huduma. Toka siku hiyo hawa watu nawathamini mno.
 
HUUNDIOUZIBORAKABISAWAKUFUNGIAMWAKA2018!WEWEJAMAANIKICHWASANA!NASIKITIKAKUSEMA!KWAAKILIZAKOHUFAIKTKSERIKALIKAMAHII
 
Hata kusambaza umeme anashukuliwa meneja wakati wale wachimba mashimo, wakwea nguzo na waunganishao nyaya hawatambuliki.
 
Mwenzenu huwa nachukua mda kutafakali kusudio la Mungu kumleta mwanadamu duniani kwa kila tukio linapotokea:
Lakini nimegundua kuna kundi la watu MHimu sana jamii huwa hailipi kiaumbele;
hili kundi ndilo linaloifanya jamii iheshimike, hili kundi ndilo linaoijenga nchi, lakini wachache waliopewa mamlaka ndiyo wanaoonekana peke yao!
Nimesikiliza Viongozi mbalimbali wakianza hotuba kwa kushukuru jitihada za watu mashuhuli tuu kiitifaki kwa wanasiasa, lakini kundi hilo halimo!
Imenitafakarisha sana Maisha ya hapa duniani.

Ebu tafakari haya;
  • Wavuvi wenye mtumbwi ndiyo watu Wa kwanza kabisa kuona,kutoa taarifa na kuokoa lakini sijasikia angalau wakikumbukwa kiitifaki au sijaona wakipewa neno la kutiwa moyo angalau kutambulika kazi zao, pamoja na kwamba media ukiona zinazungumzia wavuvi ujue kwamba wanazungumziwa kwa uvuvi haram,n.k
  • Njoo kwenye mazishi, coverage IPO zaidi kwa wanaoweka mashada lakini walioshika makoleo hawaonekani.

Hii imenifanya niamini kabisa binadamu hushughulika na finishing na si chanzo, Binadamu hushughulika na mwili na si roho, Binadam hushughulika na ajali na sio kinga, Binadamu hughalamikia misiba na sio kuponya,
Haya yote yanasababishwa na kutoijua kesho yetu kama binadamu, Laiti kama tungeijua kesho yetu hata nyimbo za huzuni tusingeimba, laiti kama tungejua kwamba Vipaji hutoka kwa Mungu tusingezarauliana,

Magorofa haya yanajengwa na watu wadogo sana lakini sifa anapewa mwingine hao hawatajwi, barabara zinajengwa na watu Wa kawaida lakini sifa anapewa mwingine, makaburini wanaoshiriki kuzika ni watu Wa kawaida sana ambao hata wakija majumbani mwenu hamuwapi hata viti vya kukaa,
NINACHOKIAMINI HATA KWENYE KITI CHA MAMLAKA YA JUU DUNIANI, BADO TUNAKALIA MATAKO YETU!
kwahiyo tutengeneze utamaduni Wa kutambua makundi ya watu wadogo kwani wao ndio chimbuko la umaarufu & utajili wako .
Ukiona una vyeo tumia cheo chako kuwasaidia hawa watu, Boresha huduma zao, boresha miundombinu, Huduma za kijamii, Usiwafanye watu hao kusononeka wakati tamko lako ni tiba kwao!
Tambua watu hao ndiowatakaokuchimbia kaburi lako wakati hao viongozi wenzako, mabosi wenzako unaowathamini na kuwadhania hakuna hata mmoja atakaebeba jeneza lako.
Tujifunze kuliweka kundi hilo kwenye itifaki. Aksante
Mwenzenu huwa nachukua mda kutafakali kusudio la Mungu kumleta mwanadamu duniani kwa kila tukio linapotokea:
Lakini nimegundua kuna kundi la watu MHimu sana jamii huwa hailipi kiaumbele;
hili kundi ndilo linaloifanya jamii iheshimike, hili kundi ndilo linaoijenga nchi, lakini wachache waliopewa mamlaka ndiyo wanaoonekana peke yao!
Nimesikiliza Viongozi mbalimbali wakianza hotuba kwa kushukuru jitihada za watu mashuhuli tuu kiitifaki kwa wanasiasa, lakini kundi hilo halimo!
Imenitafakarisha sana Maisha ya hapa duniani.

Ebu tafakari haya;
  • Wavuvi wenye mtumbwi ndiyo watu Wa kwanza kabisa kuona,kutoa taarifa na kuokoa lakini sijasikia angalau wakikumbukwa kiitifaki au sijaona wakipewa neno la kutiwa moyo angalau kutambulika kazi zao, pamoja na kwamba media ukiona zinazungumzia wavuvi ujue kwamba wanazungumziwa kwa uvuvi haram,n.k
  • Njoo kwenye mazishi, coverage IPO zaidi kwa wanaoweka mashada lakini walioshika makoleo hawaonekani.

Hii imenifanya niamini kabisa binadamu hushughulika na finishing na si chanzo, Binadamu hushughulika na mwili na si roho, Binadam hushughulika na ajali na sio kinga, Binadamu hughalamikia misiba na sio kuponya,
Haya yote yanasababishwa na kutoijua kesho yetu kama binadamu, Laiti kama tungeijua kesho yetu hata nyimbo za huzuni tusingeimba, laiti kama tungejua kwamba Vipaji hutoka kwa Mungu tusingezarauliana,

Magorofa haya yanajengwa na watu wadogo sana lakini sifa anapewa mwingine hao hawatajwi, barabara zinajengwa na watu Wa kawaida lakini sifa anapewa mwingine, makaburini wanaoshiriki kuzika ni watu Wa kawaida sana ambao hata wakija majumbani mwenu hamuwapi hata viti vya kukaa,
NINACHOKIAMINI HATA KWENYE KITI CHA MAMLAKA YA JUU DUNIANI, BADO TUNAKALIA MATAKO YETU!
kwahiyo tutengeneze utamaduni Wa kut

aisee we jamaa una akili sana
nitafute nikupe maujanja uandike kitabu
 
umenena maneno yenye ukwel kabisa ili tabaka la chini ambalo ndo linabeba msingi wa maisha ya watu mbalimbali tumelitenga sana tunalikumbuka kwenye shida tu
hili tabaka ndilo linaloleta maendeleo kuna kila sababu Mimi nawaheshimu mno hawa watu
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom