Na watu wa Mautanga kata ya Likonyowele Liwale mjini kwa nke wangu, Tunaiomba tume ya Uchaguzi pesa zetu za Uchaguzi zipelekwe Ukerewe kama Ubani wetu wa boreshe kivuko chao.
Itumike garama kidgo...
Wakuu nchi yetu ni moja ya nchi yenyr wasomi wa chuo kikuu wachache sana. Na nchi bila wasomi wa chuo kikuu hasa kwenye field za sayansi haiwezi kuendelea.
Nashauri kila mkoa ungetenga eneo na...
Jamani viongozi wangu wa serikali hapa babati tunawaomba sana fanyeni kazi kwa kufuata sheria na kanuni,mimi nikiwa kama mchimbaji mdogo wa madini ya ujenzi hapa babati nashangaa serikali yangu...
Kama una kitabu chochote ambacho ulishawahi kusoma plz share it with others hapa.
Weka softcopy na jina la kitabu.
Naanza na hiki
Sophie's World
Author= Jostein Gaarder
Kuna baadhi ya mambo yanavyoenda nchini yanakera sana!
Leo nimeona bora nizungumzie kuhusu tozo za fedha za taka taka zinazotolewa na wananchi na wafanyabiashara wadogo haswa ktk halmashauri yangu...
Wenye mamlaka na hili tunaomba mshughulikie kifurushi umenunua tena cha juu kabisa inapofika saa 2 taarifa hakuna eti tatizo la kiufundi lakini unaambiwa angalia kwenye simu
tunaomba msaada kwani...
Tafuta Boti ' chakavu ' kidogo kisha ' pakizaneni ' na Wenzako kuzidi kuliko Idadi inayotakiwa kisha nendeni maji marefu / kina kirefu kisha ' jitupeni ' majini na msubirie kuja Kuokolewa ambapo...
Habari za mchana. Gharama ya Usafiri kwa wakaazi wa Changanyikeni kupitia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) imenda kutoka Tsh 500/- na kuwa Tsh 1000/- kwa usafiri wa kutumia bajaji bado sijapata...
Waliopo Dar, Mwanza, Mbeya n.k na waliosafiri kuanzia jana kutoka maeneo hayo tupeni ukweli wa agizo la waziri Lugola kuruhusu mabasi ya mikoani kuanza safari saa 11 alfajiri, vipi ni kweli safari...
Hii inatokana na speed inayosomwa kwenye zile spidi rada kukosa nguvu ya kisheria kwa kutotimiza takwa la Sheria ya Vipimo linaloamuru vipimo vyote vinavyotumika kisheria vithibitishwe usahihi...
Nimevutiwa mno na kwaya moja inaitwa Angel City Chorale mbele ya halaiki ya watu kwenye tamasha liitwalo America's got talent, kilichonivutia hasa ni kwamba wameimba kwa kiswahili kwa tune nzuri...
Florida teacher says she was fired for refusing to give students partial credit on an assignment they didn't turn in
A teacher in Port St. Lucie, Fla., says that she was fired for refusing to give...
Ni matumaini yangu wote muwazima Wa Afya ,baada ya salaam naomba kujua kile kioo ama kitambaa kitumikacho Kwa waganga Wa kienyeji kuonesha matukio ufanyiwayo na wanga au laana zikusumbuazo za ukoo...
Baada ya figisu zilizosababisha local channels kuondolewa kwenye visimbuzi vya kulipia na kuiacha TBC pekee ambayo ilishanichosha siku nyingi, nimepata mbadala ambao ni local channels Za Kenya...
In these ways are defined
High quality man: Handsome, has a good career in a full-time job, smart and well-educated, financially rich, never been in any relationship with opposite sex before...
Pale kwenye picha ya samaki kile ni kivutio kikubwa kila mtu anayekuja Mwanza atataka apige picha pale.Ile bustani iko vizuri hata wapiga picha wanaitunza vizuri huruhusiwi kukanyaga majani ila...
_ Kwani si huko ukerewe ndiko walikopata Mbunge, mbona viongozi wa kitaifa wa chadema hawajaenda, wamebaki kubwabwaja kwenye mitandao na vyombo the habari, Je wameshindwa kupeleka mwakilishi...