Mimi mwanakijiji wa Nanjinji kata ya Likonyowele Liwale mjini

ndanda masasi

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
772
1,175
Na watu wa Mautanga kata ya Likonyowele Liwale mjini kwa nke wangu, Tunaiomba tume ya Uchaguzi pesa zetu za Uchaguzi zipelekwe Ukerewe kama Ubani wetu wa boreshe kivuko chao.
Itumike garama kidgo kumuapisha Mbunge atakaye wapendeza nyie tume.Sisi iiii atuna kinyongo Bora uhai
 
Hhahahaaa haua bhna
 
Kweli ntu na ntuwe bwa'somo! Naunga nkono hoja mmmaaaah!! Vurugu tuu mwezi nzimaa kusema kanpeni na huku wana ntu wao!! Haki tena, hizo hela ziende kwenye rambirambi Mwanzaaa!!
 
Ni kheri iwe hivyo kuliko kuteketeza mamilioni ya shillingi za wavuja jasho wa nchi hii kwa ajili ya sanaa wakati kila kitu kinajulikana.
 
Back
Top Bottom