Asante TCRA kwa kutupanua akili

Asante TCRA kwa kutupanua akili

Mgoshingwa

Member
Joined
Aug 26, 2018
Posts
38
Reaction score
17
Baada ya figisu zilizosababisha local channels kuondolewa kwenye visimbuzi vya kulipia na kuiacha TBC pekee ambayo ilishanichosha siku nyingi, nimepata mbadala ambao ni local channels Za Kenya.
Nilichogundua kimezidi kunikimbiza tbc kutokana na ubora wa vipindi ikiwemo maudhui, uwasilishaji, uhalisia, uchunguzi wa kina, balanced stories, uelewa mpana wa wahusika na wananchi hadi raha. Hata chaneli zetu pendwa zikirudi kuturudisha kama zamani itakuwa ngumu
 
Umeishia njiani! Hizo local channels za Kenya umezipata vipi (kupitia kisimbuzi gani) na ubora wake ni upi?
 
Umeishia njiani! Hizo local channels za Kenya umezipata vipi (kupitia kisimbuzi gani) na ubora wake ni upi?
Kwa DSTV zipo hadi za Africa ya Kusini na hata Ethiopia, Rwanda, BBC, Aljazeera, CNN ,nafikiri moja ni ya Somalia. Ni kweli wanajipanga zaidi na hivyo mbali na taarifa ya habari TBC (Habari za ndani ya nchi) muda mwingi nakuwa kule
 
Back
Top Bottom