Mgoshingwa
Member
- Aug 26, 2018
- 38
- 17
Hii inatokana na speed inayosomwa kwenye zile spidi rada kukosa nguvu ya kisheria kwa kutotimiza takwa la Sheria ya Vipimo linaloamuru vipimo vyote vinavyotumika kisheria vithibitishwe usahihi wake na kupewa Cheti cha Usahihi (Certificate of Correctness) angalau mara moja kwa mwaka.
Wakala wa Vipimo hawapimi hizi tochi kwa sababu kuu mbili:
1. Kwa kukosa ujuzi/ vifaa
2. Kwa kutokuwa na Kanuni za kuwawezesha kufanya mchakato wa upimaji ili kuupa uhalali wa kisheria uamuzi wowote utakaofikiwa.
Kwa muntadha huu, dereva yeyote atakayekomaa hadi mahakamani na kuhoji uhalalix usahihi wa spidi anayotuhumiwa nayo atakuwa ameigalagaza Jamhuri