Sasa unamuuliza nani??Waliopo dar, mwanza, mbeya n.k na waliosafiri kuanzia jana kutoka maeneo hayo tupeni ukweli wa agizo la waziri Lugola kuruhusu mabasi ya mikoani kuanza safari saa 11 alfajiri, vipi ni kweli safari zimeanza?
Ijapo hauna mshahara.Ama kweli ubinadamu kazi
Yule kichaa wenu ana ubinadamu???Ama kweli ubinadamu kazi
Stress hizo na bado!!!Sasa unamuuliza nani??