kwenye vivuko vya kuelekea kigamboni chumba cha maboya kina kufuli kubwa sijapata kuona ! inasemekana funguo ziko wizarani , hata hivyo kwa utitiri ule wa watu kuzidi kiwango kwa zaidi ya mara 5 yatatosha ?
Ni ushauri mzuriii...kwa hiyo hata abiria wa ndege wavae "Life jackets?"..tatizo ni utendaji wa waliopewa nyadhifa/mamlaka...MWANAUME AKITEMBEA NJIANI AVAE KONDOM.....
Elimu na mafunzo na wepesi wa kuyafikia maboya. Wafanye majaribio walau Mara moja kwa mwezi, watu wayaguse kwa vitendo. Binafsi navuka Kigamboni kwa miaka dahari sijawahi pata mafunzo kuvaa boya,ama kushika boya la kamba
Hivi sasa nipo kwenye kivuko MV:Jitegemee, nilidhani kutokana na ile ajali ya juzi kuna mabadiliko, hali ni ileile tu! Maboya yamefungiwa na wahusika wote wapo kwenye vyumba vyao, ila tupo level seat.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.