Kila mkoa utenge eneo na Kujenga chuo kikuu cha mkoa.

Kila mkoa utenge eneo na Kujenga chuo kikuu cha mkoa.

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
Wakuu nchi yetu ni moja ya nchi yenyr wasomi wa chuo kikuu wachache sana. Na nchi bila wasomi wa chuo kikuu hasa kwenye field za sayansi haiwezi kuendelea.

Nashauri kila mkoa ungetenga eneo na kuanza kujenga chuo kikuu cha mkoa. Hata kama pesa hamna watenge tu eneo. Pia ni vizuri mikoa hii ingetenga maeneo na kuyagawa bure kwa vyuo vikuu vinavyotaka kuongeza campusese zao mikoani.
 
Mkuu vilivyopo tu tunavipunguza itakuwaje tuongeze vingine?
Wingi unatakiwa kuenda sambamba na ubora mkuu. Ila kiufupi nchi yetu ipo nyuma kupita kiasi katika kuzalisha wahitimu wa elimu ya juu. Mbaya zaidi wengi tunao zalisha ni watu wa humanities kozi ambazo dunia ya sasa hazina soko.
 
Tukikamilisha kutenga maeneo ya kujenga viwanda 100 kila mkoa tutatenga na hilo la chuo kikuu.
 
University =universal....sasa lindi mnawaza university ni kama kujenga ghala la kuhifadhia korosho!
 
Back
Top Bottom