Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARl KUHUSU KIFO CHAIGP MSTAAFU SAMUEL H.PUNDUGU lnspekta Jcnerali wa Polisi anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa lnspkta Jenerali wa Polisi Samweli Huma...
0 Reactions
24 Replies
10K Views
hello JF, leo nimewaza... Activists wengi huwa wako kwenye climate change, Wakihimiiza tutunze mazingira ili iwafae watu watakaokuja kuitumia hii dunia (intergenerational) Sasa nimeona ni...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Huko nyuma Tanzania ilijulikana duniani kama nchi ambayo ilikuwa kisiwa cha amani. Sasa kutokana na matukio mengi ya kuvunjwa kwa haki za binadamu pamoja na migongano ya kisiasa na vitendo vya...
3 Reactions
58 Replies
8K Views
Katika kuitikia wito wa viongozi wa kuacha kupoteza muda vijiweni machinga wa Kariakoo wameanzisha mambo mapya ya kitaalam , sasa wameanza kuuza dawa za binadamu ili kuziba pengo la uhaba wa dawa...
10 Reactions
30 Replies
4K Views
Kwa sasa wahariri wengi wa vyombo vya habari hasa magazeti, wapo mifukoni mwa mafisadi. Katika miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000s kulikuwa na magazeti na wahariri walitoa mchango mkubwa sana...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni Alhamis nyingine kwa majira ya Afrika Mashariki, ni siku mpya nyingine iliyoanza kwa mawingu na kimvua kwa mbali kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam Basi hatuna budi kumshukuru Mungu kwa...
8 Reactions
12 Replies
2K Views
Nadhani kuna umuhimu wa kuanzisha kikosi maalumu cha uokozi Baharani ni kwenye maziwa makubwa kitakachiotwa Coast Guard ili kukiimarisha na kukifanya kiweze kufanya kazi saa 24 yaani usiku n...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Habari wana Jamvi! Naomba Kufahamu kuhusu suala la passport kwa watoto chini ya umri wa miaka mitano. Siku hizi ukitaka passport lazima uwe na kitambulisho cha uraia, Je na kwa watoto hii issue...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
Tanzania has one of the worst ferry safety records in the world, according to the Worldwide Ferry Safety Assn. in New York. There have been several deadly accidents on Lake Victoria, Africa’s...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ,nishukuru wana Jf wote na kwa namna ya pekee kabisa walio nishàuri hili na lile nilipo omba ushauri na Dawa juu ya Tatizo la Baba yangu aliyekuwa anaumwa...
7 Reactions
52 Replies
4K Views
Kuna tofauti kubwa kati ya kufikiri kwa usahihi (Accurate Thinking), na kufikiri ili kutoa maoni( Critical Thinking). Tofauti na maana za maneno haya ni kubwa. Na hii imekuwa inawachanganya watu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jana mtandao ulikuwa unasumbua hivyo ilikuwa ni ngumu kutumia NMB Mobile,kulingana nilikuwa na shida ya kupata pesa kutoka kwenye akaunti yangu(kadi iko mbali) nikaamua kutumia NMB App lakini...
3 Reactions
41 Replies
7K Views
Habari wakuu, Leo nimekutana na site hii www.tms.tpf.go.tz/ ambapo mtu anatakiwa kujaza detail either licence number au plate number ya gari kucheki kama anadaiwa kutokana na makosa mbalimbali ya...
2 Reactions
59 Replies
11K Views
Mnajua sisi wanaume tunaumia sana kulea mtoto ambae unaambiwa ni wako lakini kwa macho ukimuona tu unajua hapa nimebambikiwa kufanana kafanana na Mangi muuza duka. Ni sawa kitanda hakizai haramu...
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Nakerwa na mpangilio wa TBC kutuonesha watu wakigaiwa pesa badala ya kutuonesha uinuliwaji wa MV Nyerere. Nawakilisha.
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Rejea Kichwa cha Habari kisha anza zako Kutiririka na Kuserereka kwani Mimi bado niko nje napambana nao ila bado tu wananidindia / wananikatalia Kuondoka. Nawasilisha.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa Kikristo ninayeabudu kupitia dhehebu la Kanisa Katoliki. Ila si mtu wa dini sana,hata kanisani huwa naenda mara chache sana kwa mwaka. Lakini nimekua nikiota ndoto moja ya...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Wanaobeza serikali kuwa imeokoa mtu mmoja na wavuvi wameokoa Watu 40 nahisi hawajui namna maji yanavyoua kwa haraka Kwa namna kivuko kilivyo pinduka ni vigum sana kumuokoa mtu Kama waokoaji...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
I gave her money I gave her time I gave her everything Inside one heart could find I gave her passion My very soul I gave her promises And secrets so untold And she promised me forever And a day...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Habarini wanajukwaa Kuna jambo nimelioona leo asubuhi standi ya mabasi kiukweli nimeshindwa kulielewa, nimeona niliwasilishe humu ili mamlaka husika au yoyote mwenye uelewa atujuze kuhusu...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…