Blabla zinazoendelea sasa kuhusu fao la kukosa ajira kama mbadala wa withdrawal, ni geresha tu. Ukweli ni kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ni source nzuri sana ya mapato kwa Serikali.
Ukweli ni...
Imekuwa kawaida kwa viongozi wa serikali kuiona Dar es Salaam kama ndiyo mwakilishi wa Tanzania nzima. Mara nyingi fedha za walipa kodi nyingi zinatumika Dar es Salaam hata kwa mambo yasiyo ya...
Assalaam Aleykum,
Nchini Marekani magereza yana mfumo wa ufundishaji mbwa ambao unafanywa na wafungwa ndani ya magereza.
Mfumo huo umesaidia sana kupata mbwa wazuri kwa sababu ya muda mwingi...
Hii sasa balaa,wakulima sisi hatuna pakukimbilia mwaka huu...
Zitto Kabwe amjibu nape kwamba wameshaumia kwenye korosho. Kasema "Korosho mmeshaumia, Serikali itafute cha kuwaambia Wananchi...
Eti kila Awamu ya nchi hii kumekuwa na utaratibu wa Marais husika kutoa ' Makafara ' kwa Wananchi wao ili tu ' Tawala ' zao na ' Uongozi ' wao uwe mzuri na kama wasipofanya hivyo basi Wao ( Marais...
Mara nyingi tunasikia wananchi baada ya majanga ya moto wakililaumu jeshi hili zuri la zimamoto na uokoaji.
Wananchi wanataka mara tu moto unapoanza fire & rescue force wapo mlangoni bila kujua...
Tatizo la huyu mbunge anasahau kwamba anaumwa, anawaza sana siasa akiwa kitandani, anawaza kila tamko alijibu yeye, kila kitu ajibu yeye, kila tukio, hii yote imemfanya awe na msongo mkubwa wa...
Waziri wa afya Hamis Kigwangala amesema ujumbe unaoenezwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba wanawake watakuwa wakiwalipa wanaume ili wawanyonye kupunguza uwezekano wa kupata saratani ya matiti...
Kuna wakati mtu anaweza kulala kitandani akiwa mgonjwa, wakati mwingine akiwa mgonjwa hoi kabisa. Anaweza kwenda au kupelekwa hospitalini na huko akaambiwa kwamba hana tatizo lolote. Jambo...
Kwa wanaoishi kule njia ya Kimara ndo watumiaji hashwa wa mabasi ya mwendo kasi.
Shida ya mabasi haya nikujaza sana watu hadi milango inashindwa kufunga maana mlangoni hakuna wakumwambia mtu...
Nimemsikia leo akisema hiyo idadi tena bila hata ya wasiwasi wowote katika ' Amka na BBC ' na nikashtuka mno na kusikitika sana tu. Nadhani BBC hasa idhaa ya Kiswahili kuna ' tatizo ' la Kiuweledi...
Sifa gani inawastahili hawa watu wa ukoo wetu?
Waoga
Walalamishi
Wajinga
Wavivu
Mbumbumbu
Wenye akili nyingi????
Nimeuliza kwa sababu zifuatazo:-
Kila kunapotokea janga lolote, wengi...
KUNA USHINDI KATIKA KUNYAMAZA
Mfalme Suleiman anasema "Mithali : Mlango 17
28 Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima;Akifumba midomo yake, huhesabiwa ufahamu."
Mfalme Suleiman Ni miongoni mwa...
Waandishi wa habari wa Mkoa wa Iringa wametakiwa kuwa kiunganishi kati ya Serikali na Wananchi wake kwa kuibua changamoto na matatizo yanayowakabili wananchi na kuyatafutia muendelezo wake baada...
Mark my word Jamii Forums Member!
Mimi sio msimuliaji mzuri msinihukumu
Kwa hili najua wengi wana ushahidi na wengine watakataa lakini nawahakikishieni its a serial killer nowdays sio kwa...
Habari wana JF, jamani hii foleni ya Dar sasa ni kiboko, haya magari makubwa ya mizigo kupita njia moja na magari madogo ni sababu kubwa. Unakuta foleni inaanzia Garage mpaka mataa ya ubungo...
Shabashiii.....
Kuna mdada anaishi maeneo ya KCMC Mjini Moshi,Mtaa wa Longuo B, anatembea na Cobra kama mlinzi wake dhidi ya wanaume wapenda "totozi". Ukishamtongoza tu ukaenda nae guest /lodge...
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula amebaini ujanja wa baadhi wa wawekezaji katika mashamba makubwa wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro kumilikishwa mashamba huku...