MOSHI: Wanaume muepukeni huyu binti,analindwa na nyoka aina ya Cobra

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Shabashiii.....

Kuna mdada anaishi maeneo ya KCMC Mjini Moshi,Mtaa wa Longuo B, anatembea na Cobra kama mlinzi wake dhidi ya wanaume wapenda "totozi". Ukishamtongoza tu ukaenda nae guest /lodge /hotel, ghafla nyoka aina ya Cobra hutokea karibu yako.

Nyoka huyu hakung'ati ila tu kwa styles zake za kuhamaki na kujikunja kunja, lazima utalowa ndugu yangu. Ni kama vile mzazi wake au mchumba/mume wake amempatia huo ulinzi, maana kaumbika sana.

Wanawake wazuri wako wengi sana, kuliko kujitia pressure ni bora tu ukatafuta wanawake wazuri wengine,siyo huyu wa kukuloanisha kunako angles. Mm kuna rafiki yangu alinishauri ila nilipomuona huyo binti, moyo uliruka.

Nikamtongoza na kwenda nae guest fulani mtaa wa Soweto Manispaa ya Moshi. Guest hiyo inaitwa "Kwa mama Devosion". Nyoka alitokeza, nililoa ghafla. Baadae akatoweka. Toka siku hiyo huyu dada sitak hata kumuona.

Be very careful.
images.jpeg
 
Shabashiii.....

Kuna mdada (pichani) anaishi maeneo ya KCMC Mjini Moshi,Mtaa wa Longuo B, anatembea na Cobra kama mlinzi wake dhidi ya wanaume wapenda "totozi". Ukishamtongoza tu ukaenda nae guest /lodge /hotel, ghafla nyoka aina ya Cobra hutokea karibu yako.

View attachment 579424

Nyoka huyu hakung'ati ila tu kwa styles zake za kuhamaki na kujikunja kunja, lazima utalowa ndugu yangu. Ni kama vile mzazi wake au mchumba/mume wake amempatia huo ulinzi, maana kaumbika sana.

Wanawake wazuri wako wengi sana, kuliko kujitia pressure ni bora tu ukatafuta wanawake wazuri wengine,siyo huyu wa kukuloanisha kunako angles. Mm kuna rafiki yangu alinishauri ila nilipomuona huyo binti, moyo uliruka.

Nikamtongoza na kwenda nae guest fulani mtaa wa Soweto Manispaa ya Moshi. Guest hiyo inaitwa "Kwa mama Devosion". Nyoka alitokeza, nililoa ghafla. Baadae akatoweka. Toka siku hiyo huyu dada sitak hata kumuona.

Mdada huyu anaitwa Neeme Kessi. Be very careful.
View attachment 579425
kwahiyo huyu mrembo naye hajisikii kukutana na handsome kama mimi?, kwahiyo(kama ni kweli) huyo aliyembebesha huo uchafu hataki mrembo kufaidi mambo ya faragha
 
Back
Top Bottom