Foleni ya Dar sasa imekuwa kero sana

Foleni ya Dar sasa imekuwa kero sana

Author

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
1,745
Reaction score
8,230
Habari wana JF, jamani hii foleni ya Dar sasa ni kiboko, haya magari makubwa ya mizigo kupita njia moja na magari madogo ni sababu kubwa. Unakuta foleni inaanzia Garage mpaka mataa ya ubungo, unatoka nyumbani asubuhi unafika unakoenda inakaribia Lunch time..Tunapoteza sana rasilimali muda
IMG-20180928-WA0000_1538109585756.jpeg
 
Habari wana JF, jamani hii foleni ya Dar sasa ni kiboko, haya magari makubwa ya mizigo kupita njia moja na magari madogo ni sababu kubwa. Unakuta foleni inaanzia Garage mpaka mataa ya ubungo, unatoka nyumbani asubuhi unafika unakoenda inakaribia Lunch time..Tunapoteza sana rasilimali muda
View attachment 879913
serikali sikifu ilishakusikia, fly over ubungo ikiisha na tatizo kwisha kabisa
 
Si muhamie mkoani, trip ya ofisini unaweza amka saa moja na nusu ukajianda ikifika mbili kamili una check-in ofisini.
Dar huko ni mpaka uamke mida ya wanga kusepa.
 
Umesahau viongozi walisema hicho ni kielelezo cha maendeleo ya nchi!?
 
Habari wana JF, jamani hii foleni ya Dar sasa ni kiboko, haya magari makubwa ya mizigo kupita njia moja na magari madogo ni sababu kubwa. Unakuta foleni inaanzia Garage mpaka mataa ya ubungo, unatoka nyumbani asubuhi unafika unakoenda inakaribia Lunch time..Tunapoteza sana rasilimali muda
View attachment 879913
Kinachoniudhi Dar ni joto na hicho tu, serikali ingefanya mpango wa kuhamisha ofisi ama wizara zikawa nje kidogo ya mji. Kujenga barabara nyingi haisaidii. Ipunguze traffic kwa kuhamisha magoli.
 
Back
Top Bottom