Camera ya Sonny 1998; Furaha kwa watumiaji!.

Camera ya Sonny 1998; Furaha kwa watumiaji!.

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,311
Reaction score
12,202
98big.jpg

Mwaka 1998 kampuni ya vifaa vya umeme Sony walijisahau katika uzalishaji wakatengeneza kamera karibu 700,000 zilizokuwa na uwezo wa kuonyesha mtu alichovaa ndani.
Hizi zilikuwa ni Camera zilizoongezewa lensi yenye kutumia miale ya Infrared Infrared Rays) ambayo ingemuwezesha mtu kuchukua picha hata gizani (Night Vision Pictures).
Baadaye watu kugundua Camera hizi zinaweza kuchukua zaidi ya walichotarajia, mambo yakaharibika mtandaoni!. Picha za wanawake wakiwa nusu-uchi zikasambaa mtandaoni. Nguo yoyote nyeusi au za kuogelea ziliweza kuakisi na mtu akaona kwa uwazi (HD) ulivyo vaa ndani au kama haujavaa kitu ikaonyesha ulivyo!.
Iliwabidi Sony wazirudishe kiwandani camera zilizokuwa sokoni na kuziboresha kwa kuleta nyingine za kawaida ili mambo yasiharibikie zaidi. Camera zilizokuwa tayari zimeuzwa au zile zilizouzwa kwa magendo zilipaa mpaka kufikia kiasi cha dola 700 kwa wakati huo (around 1.5M kwa thamani ya sasa). Ingawa hata sasa kwenye black market unaweza zipata kwa kiasi cha hadi dola 2,500!.
Sony hawakushtakiwa kutokana na hakukuwa na sheria yoyote wakati huo iliyokuwepo kuwashitaki. Pia walijitetea katika report yao kuwa zilikuwa maalum kwa ajiri ya wapiga picha za wanyama nyakati za usiku.

Fikiria camera kama hizo zitokee kwa bahati mbaya ulimwengu wa sasa!.
 
Hatuhitaji hizo camera mbunye zinaonekana kwa uwazi mtaani wanakupanulia tu kuingiza dudu ndo ngumu...Mpaka maelewano ya fedha...!
 
Kuangalia tu uchi mpaka nibebe kamera ya Nini akati kwa bando langu nazama pornhub,xvideos najionea Mambo yote na vibe km lote
Sawa lakin huwezi from nowhere ukaanza kuchungulia nyeti ya jikate mwigili , wima sipiti ,irini iwaya ,hamisi mabati na wengineo
 
Kuna zile glasses wanazovaa CIA niliwahi kuambiwa wanaona mpaka ndani, aliyenipiga hii fix Mungu anamuona
 
Back
Top Bottom