Mada moto; Baada ya kuwa nje ya ulingo kwa wiki tatu

kiben10

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
616
789
Kuna Muda Na Mmisss Saana Yule My Ex Aliniumizaga Sana Lakini Tatizo Sina Hata Bible Kwa House!

Maana Watu Wanasema Ukiona Una Mmisss Sana Ex Wako Hasa Yule Aliyekuumiza Sana Inabidi Uchukue Bible Uanze Kusoma Maana Kuna Shetani Anakujaribu.

Kwa Sisi Hatuna Bible Tufanye Nini?
 
Nyie viben10 akili zenu huwa mnampaga nani hawashikie au mwenyekiti wenu?
 
Ujinga ni kudhani ulivyopotea kuna watu walikumiss au walikuwa wanakuulizia kumbe hakuna kitu kama hicho walisema " afadhari umepotea , ujinga umepungua humu ndani"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom