Je, TUCTA imepoteza muelekeo?

Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
21,141
2,000
Habari wakuu,
Rejea kichwa cha habari,
Hebu toa maoni yako ,hii ni baada ya kusikia kituo cha sheria na haki za binadamu(legal human right center LHRC) kutoa tamko juu ya TUCTA kupoteza muelekeo katika kusimamia na kulinda maslai ya wafanyakazi je nini maoni yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
18,527
2,000
Huu uzi umerudiwa mara 7 hapa sijui kwanini haujaunganishwa na kuwa mmoja
 
Mugunga

JF-Expert Member
Jun 13, 2016
640
1,000
TUCTA,CWT,TUGHE na madude yote yanayofanana na hayo kwa sasa yako compromised.kama statutory annual increments na madaraja,fedha za likizo,matibabu na madeni yake havilipwi.Halafu hayo madude yako kimya utahitimishaje?
 
Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
21,141
2,000
Huu uzi umerudiwa mara 7 hapa sijui kwanini haujaunganishwa na kuwa mmoja
Umejituma mara nyingi, wakati nautuma ulikua una fail halafu kuna notification kwamba endelea kutuma au wasiliana na wahusika... Kuja kuchek nimekuta mara nyingi umejituma
 
Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
21,141
2,000
TUCTA,CWT,TUGHE na madude yote yanayofanana na hayo kwa sasa yako compromised.kama statutory annual increments na madaraja,fedha za likizo,matibabu na madeni yake havilipwi.Halafu hayo madude yako kimya utahitimishaje?
Nadhani ndiyo hoja ya msingi kuna shida somewhere...
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
18,527
2,000
Umejituma mara nyingi, wakati nautuma ulikua una fail halafu kuna notification kwamba endelea kutuma au wasiliana na wahusika... Kuja kuchek nimekuta mara nyingi umejituma

JF nao wamekuwa 3 Mzuka
 
kivava

JF-Expert Member
Apr 2, 2013
5,777
2,000
Imekuwa jumuia nyingine ya CCM chini ya Jiwe Kichaa kama vile UWT,UVCCM,POLICCM,TBCCM na BAKWATA.
 
Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
7,143
2,000
Hivi kwanini uongozi usitolewe maana mimi naona waoga sana

Yaani umtoe katibu mkuu tucta aende wapi wakati yupo pale kujitengenezea mazingira ya kugombea ubunge kwa mara ya tatu jimbo la Msigwa? Isitoshe marais na makatibu wote wa vyama vya wafanyakazi ni makada watiifu wa ccm na wanatekeleza ilani ya ccm kwenye vyama wanavyoviongoza!
Ona jinsi uhakiki wa wafanyakazi wasiozidi laki tano unavyochukua miaka mitatu bila kukamilika na wao wamejaa kimya! Walimu waliopandishwa madaraja na kunyang'anywa na kurejeshewa na kunyang'anywa na kurejeshewa tena Aprili mosi bila kuwa kutuhumiwa kwa kukiuka masharti ya madaraja hayo na hadi sasa wengine hawajalipwa hata hiyo waliopandishwa Aprili na hata arrears za kutoka Aprili nazo wamezikalia lakini tutcta wamelala na kuona ni sawa tu!
Madai na malimbikizo ya madeni ya wafanyakazi yaliahidiwa kutolewa shs. 200bln tangu Februari mwaka huu na hakuna aliyekuwa hadi sasa!
Ni kweli wanatakiwa kuja na majibu ya haki na stahiki za wafanyakazi zilizopo kisheria kukaliwa na ama kukataliwa kulipwa na serikali ambayo ndiyo mwajiri huku walilipwa ada za kila mwezi ni kwanini wasijuuzulu kupisha wenye uwezo wa kutekeleza matakwa ya tutcta?
Kinyume na kuyatekeleza majukumu yake wakajjsaji kwa msajili wa vyama vya siasa tujue moja!
 
Nani amfunge paka kengele mzee...... Mfumo umekaza....
 
Tatizo sio kama hawaoni ugumu upo pale wanapo kuwa na second thought
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom