Je, utajitambuaje kama ipo siku unaweza kuwa kichaa?

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,287
Reaction score
49,240
Habari ya jumapili, kila mwisho wa week huwa kuna ka uzi mshenzi naweka kakuweza kung'amua ambavyo wengi wanapuuzia,

Wengi wanawaona vichaa baba baran na kudhani walizaliwa hivo, hapana ni mazingira upelekea mtu kuwa kichaa,

Mazingira yapi hupelekea mtu kuwa kichaa? Au ukichaa husababishwa na nini?

Zinazungumzwa katika nyanja tatu
A. Sababu za kibailojia
C. Sababu za kimazingira
D. Sababu za kisaikolojia

KIBAILOJIA

1.urithi, ugonjwa wa ukichaa Mara nyingine hurithiwa kwa wazazi au katika ukoo

2.Marathi, kuna magonjwa au maradhi ambayo huuathiri ubongo wa mwanadamu na kusababisha kuugua ukichaa,

3. Ajari, kuna ajari.mbaya sana ambazo ugusa ubongo na kuuletea madhara,

4. Wakati wa mtoto kuzaliwa kupitia sehem ya mama hubanwa kichwa na ubongo uathirika na miaka ya baadae kusababisha ugonjwa wa ukichaa,utokea wakati mama anajifungua na hana nguvu za kusukuma,.mtoto ubanwa na kukosa hewa ya oxygen.

5. Kukosa balanced diet kwa wakati nalo usababisha ugonjwa wa ubongo,

SABABU ZA KIMAZINGIRA

1. Kifo cha mwenzako
2.kupoteza kazi
3. Familia isiykufanya kazi vema au dysfunction family
4. Kulogwa
5. Kukiuka taratibu za kitamaduni,
6. Unywaji wa pombe uliopitiliza
7. Matumizi ya madawa ya kulevya,

KISAIKOLOJIA
Hapa mtu kuwaza sana mpaka kuuchosha ubongo, mara nyingi uwatokea wanaodaiwa hela nyingi, waliowekeza hela nyingi na kupata hasara, waliofiwa watu muhimu sana, walioibiwa , na waliopewa habari yeyote ya mshtuko,

DALILI ZA KWAMBA WAWEZA KUWA KICHAA BAADAE
1. Ukiona asilimia kubwa ya habari unazowaza haziwezekani,.mfano unatembea unawaza kwamba ukipata gari utafanya jambo fulani wakati hata hela ya Kula mchana hauna,

2. Asilimia ya mambo yote unaona yanawezekana kiurahisi tu ,

3. Unakaa unakumbuka habari za kuchekesha tu kila mara ambazo zimepita

4. Kutaja taja namba kila wakati , huku so lazima kuzitaja mfano uko bar a baran unasema dollr 2438, laki 3786 nikizipata wakati huna hata mpango

5. Kukaa unagongwa kichwa sana

6. Kukaa unawaza mambo ambayo kama ulilaaniwa

7. Kufikiri una mkosi

8. Kuropoka

Hizo ni dalili za kuonesha kwamba kuna siku utakuwa chizi

Britannica
 
Sawa kichaa namba 2
 
Mmm tupo wengi basi vichaa huku mtaani
 
Sawa kichaa namba 2
Heee yaani ukiishi Tanzania na hujawahi kuchanganyikiwa akili hata siku moja mshukuru Mungu maana akili zetu kila siku zinachanganywa tu na mambo ya ajabu ajabu kama haya ajali ilipotokea account ya maafa ikafunguliwa lengo kuwafariji wafiwa na wahanga watu wamechanga kwa Moyo wote fedha zimekua nyingi basi malengo yamebadilika ni kujenga wodi kwani serikali haina fedha za kujenga wodi hadi zitolewe za rambirambi? akiii wonders will never end in Tanzania
 
Back
Top Bottom