figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,185
- 64,574
AJALI YA BASI LA KIAZI KITAMU NA LAND CRUISER LA SHILIKA LA KUWAHUDIMIA WAKIMBIZI HUKO KIGOMA
Gari ndogo land cruiser ilikuwa inaovertake semi kwenye rough road ilhali vumbi limetanda mbele yake haoni mbele akakutana na Basi la Kampuni ya KIAZI KITAMU, akashindwa kurudi maana alishafika katikati.
Ndani ya gari ndogo walikuwa watu watatu, dereva na abiria wawili. Dereva hatunae, abiria mmoja hali yake mbaya mwingine kaumia kidogo.
Dereva wa basi hajaumia
_Mungu uwape wepesi majeruhi na aliyetutoka umpe pumziko.
Ajali imetokea Kakonko