Tetesi: Bongo movie kuanzisha tv station

and 300

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
26,325
36,121
Katika kuitikia wito wa Hapa Kazi tu. Wasanii tajwa wanatarajia kuanzisha tv station nchini ili kuonyesha kazi zao
 
Ili watudanganye vizuri kama hivi
18095014_1888260721426674_7815579506386665472_n.jpg
eti hawa wametekwa halafu kaja askari shupavu kuwaokoa
 
Kama ni kweli basi bashite atakuwa nyuma ya mpango huo na pesa zitakazotumika ni kodi za wananchi. Maana adhabu aliyopewa na tasnia ya habari ni pigo kwa bashite na washirika wake.
 
Hawa watu sijui wanawaza nini tu, hizo muvi zao za kurekodi na camera za harusi siangalii ng'ooo!
 
Back
Top Bottom