Sitalisahau fao la kujitoa

Sitalisahau fao la kujitoa

PintoG

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2017
Posts
612
Reaction score
732
Kwa wale wamekuwa wakifanya kazi sector binafsi watakubaliana na mimi kuwa fao la kujitoa ilikuwa mkombozi mkubwa kwa vijana.

Binafsi nimemaliza chuo 2009 na mwaka huo huo nikakaanza kazi kampuni moja hivi. Baada ya miaka mitano nikaacha, nikachukua mzigo wangu m13,nikafanya mipango yangu yote vizuri, nikapata kazi sehemu nyingine hadi 2017, mzigo wote umestuck baada ya sheria kubadilika. Siwezi tena kutoa hela yote iliyopo.

Kiukweli kwa kazi za sector binafsi utaratibu huu mpya ni changamoto sana maana watu wengi wamekuwa wakitumia pesa za fao la kujitoa kuanzisha biashara, kuendeleza biashara, kumalizia nyumba, nk.

Toka ile siku wabunge wamepitisha mswada ule nimewachukia na kuona sina hata mmoja wa kumsapoti masna vijana hii inatuumiza sana.
 
Kwahiyo unataka utuambie ulikuwa kwa mwezi unalipwa 1083333.3334? Bila shaka kuna sehemu umetudanganya kwenye kiwango cha mafao yako
 
Kwa wale wamekuwa wakifanya kazi sector binafsi watakubaliana na mm kuwa fao la jujitoa ilikuwa mkombozi mkubwa kwa vijana.
Binafsi nimemaliza chuo 2009 na mwaka huohuo nikakaanza kazi ksmpun moja hivi. Baada ya miska mitano nikaacha, nikachukua mzigo wangu m13,nikafanya mipango yangu yote vizuri, nikapata kazi srhm nyngine hadi 2017, mzigo wote umestuck baada ya sheria kubadirika. Siwez tena kutoa hela yote iliyopo.
Kiukweli kwa kazi za sector bnafsi utaratibu huu mpya ni changamoto sana maana watu wengi wamekuwa wakitumia pesa za fao la kujitoa kuanzisha hiashara, kuendeleza biashara, kumalizia nyumba, nk.
Toka ile sku wabunge wamepitisha mswaada ule nimewachukia na kuona sina hata mmoja wa kumsapot masna vijana hii inatuumiza sana.
Hakuna kitu MaCCM yanachukia kama kusikia eti mnataka kujikomboa kiuchumi. Waulize wakulima wa korosho.

Tena na sasa kuna chief engineer lao katili na la roho mbaya. DHULMA imehalalishwa
 
Pesa imenunua bombadier bandugu…. Hiyo ndo serikali ya wanyonge,…. Amenyonga pesa ya wanyonge akaenda kununua ndege ambayo haiwezi kumsaidia mnyonge…. .hahhahahaaa,.. Watu Oyeeeeee!!… hii nchi watu wanajiita wasomi lakini nimewadharau wooote
 
Kwahiyo unataka utuambie ulikuwa kwa mwezi unalipwa 1083333.3334? Bila shaka kuna sehemu umetudanganya kwenye kiwango cha mafao yako
Mkuu hesabu ya ile 10% haipo hivo, kumbuka wanakata ten pa ya gross ambapo gross haiwi kama jiwe imeganda, kuna mwez mtu una OT inapanda, kuna bonus pia, so hesabu yako ya kuzidisha na kugawa si sahihi
 
Mkuu bonus huwa haziingii humo, ni mshahara wako tu ndo unamakato ya NSSF labda uniambie na wewe ulikuwa unajipelekea za kwako, lakini hata hivyo isingekuja figure hiyo ya desmali
 
Kwa wale wamekuwa wakifanya kazi sector binafsi watakubaliana na mm kuwa fao la jujitoa ilikuwa mkombozi mkubwa kwa vijana.
Binafsi nimemaliza chuo 2009 na mwaka huohuo nikakaanza kazi ksmpun moja hivi. Baada ya miska mitano nikaacha, nikachukua mzigo wangu m13,nikafanya mipango yangu yote vizuri, nikapata kazi srhm nyngine hadi 2017, mzigo wote umestuck baada ya sheria kubadirika. Siwez tena kutoa hela yote iliyopo.
Kiukweli kwa kazi za sector bnafsi utaratibu huu mpya ni changamoto sana maana watu wengi wamekuwa wakitumia pesa za fao la kujitoa kuanzisha hiashara, kuendeleza biashara, kumalizia nyumba, nk.
Toka ile sku wabunge wamepitisha mswaada ule nimewachukia na kuona sina hata mmoja wa kumsapot masna vijana hii inatuumiza sana.
Haisaidii ndugu.Kubali tu maumivu kama una imani amini Mungu atafanya njia,pasipo na njia
 
Back
Top Bottom