Msaada kuhusu Incubators

Msaada kuhusu Incubators

matubara

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2012
Posts
226
Reaction score
90
Wadau nimeanza mradi wa kutotolesha vifaranga wa kienyeji kwa kutumia incubator ya umeme lakini hii kitu Tanesco wamenifanyia sitasahau maishani! Nadhani mmenielewa. Naomba kama kuna incubators zinazotumia mafuta ya taa au nishati nyingine nijulishwe.
 
du!!
icubator za mafuta ya taaa??????

labda za gesi, mkuu sasa hivi kifaa chochote kinachotemea umemem na ambacho ni sensive, hakikisha una generator au solar pemben, vinginevyo Tutakuaja kukupa pole ukiwa umelazwa MOI kwa presha.
 
pole sana mkuu manake sipati picha, unaweza kuchijna mtu aisee
 
du!!
icubator za mafuta ya taaa??????

labda za gesi, mkuu sasa hivi kifaa chochote kinachotemea umemem na ambacho ni sensive, hakikisha una generator au solar pemben, vinginevyo Tutakuaja kukupa pole ukiwa umelazwa MOI kwa presha.
[emoji1] [emoji1] MOI ni taasisi ya mifupa ndg, haina uhusiano na ugonjwa wa presha[emoji4]
 
Back
Top Bottom