Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Unaweza kuziona kwa macho bila kiona mbali kama upo kwenye eneo lenye "clear sky"
1 Reactions
17 Replies
47K Views
Pamoja na Serikali yetu ya awamu hii chini ya mh Rais wetu kuwekeza kwenye elimu, watoto kusoma bila malipo, walimu kupewa posho hasa wanaojiita waratibu elimu katika ngazi mbali mbali. Pamoja...
0 Reactions
2 Replies
713 Views
Wakuu, Mimi ninatafuta wafadhili ili nifungue NGO'S ambayo itashughulika na malezi ya watu waliokosa malazi maalumu kwa rika zote na jinsia zote sambamba na kuwatunza disabilities people, lakin...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wadau namfatuta huyu jamaa yangu anaitwa Alex Nanyalo alimaliza diploma course pale Marangu TTC mwaka 2016.Mara ya mwisho alikuwa anafundisha kituo cha Twishen pale Kaloleni Arusha...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mhandisi Tumain Magesa, ameanza ziara kuonana na wakulima na wafugaji kabla ya shughuli za kilimo Hatua hii imetokana na mikakati aliyojiwekea kupita kila kijiji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pamoja na kauli nyingi hasa toka kwa wanasiasa kukipigia debe kiswahili kuwa iwe lugha rasmi toka shule ya msingi hadi chuo kikuu lakini ukweli unabaki pale pale Kingereza ndio mpango mzima...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
  • Closed
Habari zenu wana jamvi . Bila kupoteza wakati kwa porojo nyingi leo saa 8 kamili WASAFI TV wamerusha matangazo mubashara yakionyesha founder na boss wa media hiyo DIAMOND PLATNUMZ akifanyiwa...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
  • Closed
Naombeni kujuzwa maswala haya mawili kuhusu hii mitandao: 1. Ni nani mmiliki wa mtandao wa GOOGLE? 2. Ni kitu gani kinaipa mitandao mingine kama FACEBOOK na WHATSAP utarajiri mkubwa kuliko...
5 Reactions
41 Replies
15K Views
  • Closed
Kumekuwa na usumbufu mkubwa Sana kwa abiria ,watembea kwa miguu na hata kwa watu wanaopanda na kushuka daraja eneo Karibu na kituo kikuu cha mabasi ubungo...kauli zao Utasikia.. Dodoma Au Arusha...
10 Reactions
60 Replies
11K Views
Atakuwa amesoma alama za nyakati au kuna kitu kimempata? Tunaomba watu wa karibu yake hebu watupe ubuyu kidogo. Figisu figisu na Lema naona hamna cku hizi.Au mawazo ya kuwania jimbo la Arusha...
6 Reactions
68 Replies
7K Views
  • Closed
Ulishawahi kujiuliza kwa nini tunasoma,kuna umuhimu gani wa kwenda shule na kupoteza miaka mingi katika kitu ambacho mwisho wa siku unaona hakina umuhimu kwako, Sasa basi kwa nchi za wenzetu...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Ushirikina ni kumtegemea/kumuomba/kumuabudu asiyekuwa MUNGU kwenye maisha yako. Hizi hapa ni tathmini chache zinazoonyesha ni kwa kiasi gani wanawake wengi humshirikisha MUNGU hasahasa kwa kwenda...
5 Reactions
22 Replies
5K Views
Kwangu kibu langu ndio, je wewe mdau? Jamii forums ni mfano wa darasa, tofauti na madarasa yale mapango ya shule zetu. Madarasa au vyuoni ukijifanya unauelewa zaidi ya Mwalimu wako atakuwajibisha...
0 Reactions
2 Replies
799 Views
Mzuqa Mungu katupa mdomo/kinywa kwa kula, kinywa na kuongea na kutunza ndimi zetu. Katupa masikio kusikia. Katupa pua kunusa. Aidha na MATUNDU mengine mubashara. Tutumieni matundu haya ipasavyo...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Taasisi ya Kifedha ya NMB Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, imewapunguzia adha ya kukaa chini wanafunzi wa Shule ya msingi Ndedo kwa kutoa msaada wa dawati 50 za thamani ya 5 mil. Meneja wa NMB...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Mhandisi Tumaini Magesa amejikuta katika wakati mgumu baada ya kushika chaki na kuanza kufundisha wanafunzi wa Shule ya msingi ndedo kusoma, kuandika na kuhesabu. Hatua...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Geita, Wakazi wawili wa Kijiji cha Nyakagomba wilayani Geita ambao ni mtu na bintiye, wameuawa kwa kunyongwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia jana Oktoba 1, 2018. Mwenyekiti wa Kitongoji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya mbio za Rotary Dar, Catherinerose Barretto (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika mkutano na waandishi wa habari (hawapo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna kupindi huwa napata shida sana na sheria,kanuni,sera na taratibu tulizojiwekea. Inakuwaje unakuwa na sheria inayokataza chombo. cha habari (TV),kurusha vipindi muhimu vya Taarifa za habari...
9 Reactions
8 Replies
2K Views
Mkokoteni wa mwl. Sebastian Awe wa shule ya Msingi Ayamuhale kata ya Marang' wilayani Mbulu watumika kubeba miti mali ya Halmashauri ya wilaya ya Mbulu usiku wa saa 3 usiku. Mkokoteni tajwa...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…