Tuyatumie matundu ya miili yetu vizuri

Tuyatumie matundu ya miili yetu vizuri

Mzuqa

Mungu katupa mdomo/kinywa kwa kula, kinywa na kuongea na kutunza ndimi zetu. Katupa masikio kusikia. Katupa pua kunusa.

Aidha na MATUNDU mengine mubashara.

Tutumieni matundu haya ipasavyo mahsus kwa msksudi yalivyoumbwa.

Nadhani nimeeleweka
Kweli kabisa mkuu
 
Hujaeleweka vizuri. Kuna mtu unamkumbusha kuwa hatumii ipasavyo?? Wapo wadada wanafikia 28+ bado intact. Huoni hatumii ipasavyo?
 
Mzuqa

Mungu katupa mdomo/kinywa kwa kula, kinywa na kuongea na kutunza ndimi zetu. Katupa masikio kusikia. Katupa pua kunusa.

Aidha na MATUNDU mengine mubashara.

Tutumieni matundu haya ipasavyo mahsus kwa msksudi yalivyoumbwa.

Nadhani nimeeleweka

Tema mate niwachape waliotaka kuyatumia vibaya matundu
 
Mzuqa

Mungu katupa mdomo/kinywa kwa kula, kinywa na kuongea na kutunza ndimi zetu. Katupa masikio kusikia. Katupa pua kunusa.

Aidha na MATUNDU mengine mubashara.

Tutumieni matundu haya ipasavyo mahsus kwa msksudi yalivyoumbwa.

Nadhani nimeeleweka
Bado hujaeleweka boss
 
Mbona umesahau mengine mkuu funguka buana acha kujing'ata ng'ata [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom