JAMHURI
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 449
- 60
Taasisi ya Kifedha ya NMB Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, imewapunguzia adha ya kukaa chini wanafunzi wa Shule ya msingi Ndedo kwa kutoa msaada wa dawati 50 za thamani ya 5 mil.
Meneja wa NMB kanda ya Kati Nsolo Mlozi akikabidhi msaada huo kwa Mkuu wa Wilaya ya Kiteto shuleni hapo alisema wataendelea kutoa kadiri watakapoendelea kupata faida
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara, Tumain Magesa amepokea msaada huo wa madawati 50 toka NMB kwaajili ya shule ya msingi Ndedo kuwa utapunguza adha kwa wanafunzi hao
Msaada huo umegharimu Tsh 5 mil ambao ulitolewa kama faida kutoka NMB baada ya wateja wao katika tawi la Kibaya kutengeneza faida
Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Mhandisi Tumaini Magesa alishukuru taasisi hiyo ya Kifedha ya NMB Tawi LA Kibaya akisema limekuwa msaada Mkubwa baada ya kusaidia vitanda hospitali ya Kiteto
Kwa upande wake mwalimu Mkuu wa Shule hiyo alishukuru kupata msaada huo akisema awali baadhi ya wanafunzi walilazimika kukaa chini wakati wakifunfishwa darasani