Katika maonyesho ya nanenane Simiyu wajasiliamali waliwalalamikia NIDA kutokutoa vitambulisho vya taifa kunakowakwamisha wajasiliamali kusajili bidhaa na biashara zao waziri mkuu aliahidi...
KAMATAAAAA HAOOO BABAAAA
MIMII NIMEPIGWAA SANA TKT ZA 200 WAKATI NIMELIPA 650
HASA VITUOO VYA MAGOMENI..KMR MWISHOOO..PALE KIVUKONI...NJOO PALE MUHIMBILI WATUWAZIMA AWAANGALII KIASI KWENYE TKT...
Ilikuwa kama mzaha hivi, baada ya Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mhandisi Tumaini Magessa kuamua kwenda shambani kusikiliza mgogoro kati ya mkulima na mfugaji wote wakazi wa Kijiji cha Changombe Kata ya...
Nina king'amuzi cha azam tv sasa nikawa sijalipia kifurushi chochote ili nicheki kama wataibakisha TBC, kuja kuchek TBC haipo ila kuna jirani anasema yeye asipolipa TBC huwa inabaki sasa cha...
Habari za muda huu ndugu wana JF
JF ambayo ni social network iliyo dumu kwa zaidi ya miaka 10 sasa
Je katika kipindi hichi chote...mnaweza nisaidia kujua faida mbalimbali ambazo JF imetuletea...
Foleni ndefu ya muda mrefu pale makutano ya TAZARA iligeuka fursa kubwa kwa wafanyabiashara wadogo "machinga" kuuza bidhaa zao zenye thamani ya mamilion kwa siku, abiria na madeva nao walikuwa...
Amefariki Leo pamoja na wenzake watatu,huko south Africa.Wakitokea kwenye mkutano wa injili Malawi.Kwa ajali ya gari.Mwezi uliopita alikuwepo Ushirika stadium Moshi,kwa mkutano wa siku tatu...
Guys sidhani kama kuna kitu kizuri hapa dunia kama kumtumikia MUNGU.
Vitu vyote vya hapa duniani vitapita lakini MUNGU atasimama milele.
Sasa wewe mwenzangu na mimi kwanini usiwekeze kwenye furaha...
Habar wakuu nimeelekezwa tandika kuna clinic ya kung'oa meno ila cjajuwa iko wap ...me natokea ukonga so mwenye kujuwa anipe muelekeo n wap na nashuka wap au ht ikiwa temeke s mbaya
Nakumbuka Tunapoanza darasa la kwanza hadi la Tatu, Nguvu nyingi huwa inapelekwa kwenye kujua kusoma na kuandika. Sijajua sababu na wanajifunza miandiko hii kwakati gani katika carer yao.
Kwa...
Habari wana Jf.
Leo nimekumbuka na mengine kuhadithiwa ya zamani na nimejikuta nimeipenda zamani kuliko zama za sasa.
Zamani ilikuwa mkikutana mahala basi naam mtaongea stori nyingi na kufurahi...
Kumekua na vi clip vifupi vikimuonyesha huyu mueshimiwa akisema sukuma ndani Bibi Arusi sukuma ndani mchungaji wala ubwa bwa sukumandani wote. Nimefuatilia vyanzo vya clip zile nimegundua huyu...
Assalaam Alaykum
Nataraji mpo salama na familia zenu
Wakuu,kuna watu ambao ni wanaume,na hujisifu sana kuwa wao ni vidume
lkani cha kushangaza,mchana anakula UROJO au CHIPSI..!!!
na hapo asubuhi...
Mtegemea cha ndugu hufa masikini, lakini mimi acha nife masikini. Kuna ndugu yangu mmoja anafatilia mafao yake sasa ni mwaka unaenda na kila anapokwenda makao makuu ya pspf japo ss imeungwanishwa...
Leo nimesoma mahojiano ya Balozi wa Germany hapa nchini, akisema huwa anapokea simu nyingi sana toka Germany za wawekezaji wanaoipenda Tanzania na wanataka kuja kuwekeza, lakini pale wanapopata...
Tafiti hupingwa kwa tafiti,chukua muda wako..fanya utafiti.vijana wa dar wanalalamika hela hakuna ila ni wavivu kupindukiaa..wanachagua kazi hasa zile laini laini..
Bar wanataka kukaa tu...
Baada ya gharama za vifurushi vilivyokuwa mkombozi kwangu..sasa naona sina namna zaidi kuukimbia mtandao huu pendwa maana kuna wakat najitutumua nakujiunga hivyo hivyo lakini jinsi unit...
Katika kuunga mkono juhudi za mkulu na maendeleo tukafufuliwa shirika letu pendwa la ndege ,yaani hapa kazi tu iwe mchana au usiku ...kiukweli nimeshangazwa na kusikitishwa na hiki nilichokikuta...
Wakuu poleni na kazi,
nimeshtushwa pale nlipowasiliana na ndugu yangu wa siku nyingi ambaye yeye anasoma chuo cha kimataifa cha kampala baada ya kunipa taarifa kua alichelewa kulipa Ada na...