Kwenye vitabu vyote vitakatifu Mwovu Shetani ametajwa kama adui wa hatari ambaye anapaswa kupigwa vita muda wote na kila mtu mwenye kumheshimu Mungu .
Baada ya kupata Msamaha wa Rais kutoka...
Naomba msaada wa kufahamishwa kituo chochote cha watoto yatima ambacho kipo Bunju,Boko,Tegeta au Bagamoyo (along Bagamoyo road).
Mimi ni mtanzania wa hali ya kawaida hivyo nitashukuru endapo...
Basi hili la Majinja lilikuwa linatokea Sumbawanga kuelekea Dar es Salaam.
Taarifa ikatolewa kuwa lilikuwa linakwenda kwa spidi kubwa mno. Ikabidi lizuiwe maeneo ya Mbimba na kuandikiwa faini ya...
Shule hizo zilizofutiwa matokeo zipo katika Wilaya ya Kondoa jijini Dodoma, Kinondoni na Ubungo katika jiji la Dar pamoja na Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza
> Serikali pia imewasimamisha kazi...
Juzi nimepokea taarifa kutoka kwa Diwani Mwenzangu Hapa Kakonko kuwa kuna watoto 2 walifariki kwa kuangukiwa na kipande cha ukuni uliodondoka kutoka juu ya mti wa Mrumba,mti ambao unatumiwa kama...
Nchini sasa hivi kuna chombo mtu unaweza kukitumia kununua au kuuza shares zako katika kampuni iliyosajiliwa katika soko la mitaji (Dae es salaam Stock Exchange ~DSE).
Kulingana na uchunguzi wa...
Nchini sasa hivi kuna chombo mtu unaweza kukitumia kununua au kuuza shares zako katika kampuni iliyosajiliwa katika soko la mitaji (Dae es salaam Stock Exchange ~DSE).
Kulingana na uchunguzi wa...
Nchini sasa hivi kuna chombo mtu unaweza kukitumia kununua au kuuza shares zako katika kampuni iliyosajiliwa katika soko la mitaji (Dae es salaam Stock Exchange ~DSE).
Kulingana na uchunguzi wa...
Wakuu mmeamka salama?
Labda tujuane wote tunakerwa na makelele ya wale jamaa wanahubiri/ au kuuza bidhaa zao kwenye basi pindi liko linasafiri.
Mtu unahitaji utulivu wa akili au unahitaji...
Mkuu wa mkoa wa Tabora,Mh.Agrey Mwanry amesema majirani wa wanafunzi wanaoacha shule halafu wanakaa kimya na wao wataunganishwa katika kesi ya utoro wanafunzi
Nini Maoni Yako
Amani ya Bwana iwe nanyi.
Kuna hili jambo nimeliexperience sana na nadhani ndiyo asili ya mwanadamu. Kwenye maisha ni rahisi zaidi kusaidiwa na mtu mwenye asili tofauti na wewe kuliko yule...
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nzega kwa tiketi ya CCM, Mh. L Seleli pia aliyehusika katika uchunguzi wa Kampuni tata ya kufua umeme wa Dharura RICHMOND. Baada ya...
Katika hali ya mdororo wa Uchumi nchini
Ugiriki,Serikali imeamua kuifunga Television ya Taifa ya nchi hiyo isirushe matangazo yake hasa
ikidai kuwa ni mzigo na haina faida yoyote.
Zaidi ya...
Katika maonyesho ya nanenane Simiyu wajasiliamali waliwalalamikia NIDA kutokutoa vitambulisho vya taifa kunakowakwamisha wajasiliamali kusajili bidhaa na biashara zao waziri mkuu aliahidi...
KAMATAAAAA HAOOO BABAAAA
MIMII NIMEPIGWAA SANA TKT ZA 200 WAKATI NIMELIPA 650
HASA VITUOO VYA MAGOMENI..KMR MWISHOOO..PALE KIVUKONI...NJOO PALE MUHIMBILI WATUWAZIMA AWAANGALII KIASI KWENYE TKT...
Ilikuwa kama mzaha hivi, baada ya Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mhandisi Tumaini Magessa kuamua kwenda shambani kusikiliza mgogoro kati ya mkulima na mfugaji wote wakazi wa Kijiji cha Changombe Kata ya...
Nina king'amuzi cha azam tv sasa nikawa sijalipia kifurushi chochote ili nicheki kama wataibakisha TBC, kuja kuchek TBC haipo ila kuna jirani anasema yeye asipolipa TBC huwa inabaki sasa cha...
Habari za muda huu ndugu wana JF
JF ambayo ni social network iliyo dumu kwa zaidi ya miaka 10 sasa
Je katika kipindi hichi chote...mnaweza nisaidia kujua faida mbalimbali ambazo JF imetuletea...
Foleni ndefu ya muda mrefu pale makutano ya TAZARA iligeuka fursa kubwa kwa wafanyabiashara wadogo "machinga" kuuza bidhaa zao zenye thamani ya mamilion kwa siku, abiria na madeva nao walikuwa...
Amefariki Leo pamoja na wenzake watatu,huko south Africa.Wakitokea kwenye mkutano wa injili Malawi.Kwa ajali ya gari.Mwezi uliopita alikuwepo Ushirika stadium Moshi,kwa mkutano wa siku tatu...